Manchester United (Red Devils) | Special Thread

sikukwambia kuwa Arsenal wamebadilika nilisema Arsenal wanacheza mpira uleule kila siku nyinyi ndio mumebadilika mumeanza kuwa kimeo
sisi hatukamii gemu nyinyi mukicheza na Arsenal ndio kama finali
Kwani nimesema Arsenal wamebadilika,hawajabadilika ndio maana tunaendelea kuwafunga kila msimu
 
[h=5]bila Carrick na Rvp kushinda kimbembe,wapigeni sindano za ganzi mana next wk una gemu ngumu kuliko ya jana[/h]
 
sikukwambia kuwa Arsenal wamebadilika nilisema Arsenal wanacheza mpira uleule kila siku nyinyi ndio mumebadilika mumeanza kuwa kimeo
sisi hatukamii gemu nyinyi mukicheza na Arsenal ndio kama finali

Arsenal kwetu ni vibonde hatuna haja ya kuwakamia,ndio maana hata tuwe wabovu kiasi gani wakija wao tunawafunga kiulaini
 
Acha kuweweseka wewe kwa hiyo wakati hizo timu zingine zinapata majeruhi Man U wanyewe watakuwa hawapati Majeruhi?
Hahahahahahahahahahahahahahahahaha Hatari saaana! Kwamba sasa hivi watu wa Manure wanaomba other timu wapate majeruhi ndio wao wafufuke!! Duuh hii Hatari. Kweli sasa hivi ni mwendo Tia maji tia maji tu.
 
Acha kujichekesha kama mtoto wa kike,Man United kiwango chetu sio kizuri lakini angalia tofauti na hizo timu nyingine ambazo wewe unaziona ziko vizuri.Kama timu ikiamka still inaweza kuchukua ubingwa,kumbuka timu inayoongoza ligi imetuzidi point 7 na still hamjacheza na Chelsea na Man City.Baada ya game 6 mlianza kujiita mabingwa tulivyowafunga kama kawaida mkaanza kuleta visingizio,utake usitake sisi hata tuwe wabovu vipi nyie mkija tunawafunga kiulaini
 
uliiangalia gemu au ulisikiliza kwenye radio? Man united siku zote wakicheza na Arsenal hata babu yako FAG anajuwa lazima wacheze ngangari
Vipi safari hii hamutaki mchezaji mwengine? timu imekuwa kimeo bado hukubali na bado
Arsenal kwetu ni vibonde hatuna haja ya kuwakamia,ndio maana hata tuwe wabovu kiasi gani wakija wao tunawafunga kiulaini
 
uliiangalia gemu au ulisikiliza kwenye radio? Man united siku zote wakicheza na Arsenal hata babu yako FAG anajuwa lazima wacheze ngangari
Vipi safari hii hamutaki mchezaji mwengine? timu imekuwa kimeo bado hukubali na bado

Siku ya mechi ulikimbia jukwaani leo ndio unakuja zungumzia,sidhani kama mlipiga shuti golini,Kwenye EPL Arsenal tumeshawafunga goli 8,6,4,3,2,1 hakuna timu nyingine ambayo tumeifunga kama tunavyowafunga nyie
 
nikiwa mzigoni huwa ninarecord gemu nikipata nafasi huiangalia
siku ya Alhamisi na Ijumaa huwa napenda kuomba off kazini lakini inategemea na kazi
Sikatai kuwa munatufunga lakini timu kimeo safari hii nyinyi mumeweka tusifungwe na Arsenal mwambie Babu asidanganye eti kufundisha na kupanga timu kwa Moye remote
Siku ya mechi ulikimbia jukwaani leo ndio unakuja zungumzia,sidhani kama mlipiga shuti golini,Kwenye EPL Arsenal tumeshawafunga goli 8,6,4,3,2,1 hakuna timu nyingine ambayo tumeifunga kama tunavyowafunga nyie
 
Siku ya mechi ulikimbia jukwaani leo ndio unakuja zungumzia,sidhani kama mlipiga shuti golini,Kwenye EPL Arsenal tumeshawafunga goli 8,6,4,3,2,1 hakuna timu nyingine ambayo tumeifunga kama tunavyowafunga nyie

Achana naye hakuangalia ndo mana anabwabwaja hovyo
 
David Moyes put in place his final preparations at the Aon Training Complex before the trip to Germany to face Bayer Leverkusen in the Champions League on Wednesday. Rafael, Nemanja Vidic and Phil Jones all looked sharp following their recovery from injury, while Danny Welbeck certainly seemed to be enjoying his birthday.
 
Sawa Sh*oga(umepaniki) me najichekesha ka mtoto wa kike. Mkuu hatukuwahi kujitangazia ubingwa mechi ya 6 maybe kama wewe ndio umewahi kututangaza kuwa mabingwa So nyie endeleen kushangilia kwa kuifunga Arsenal na kujifariji kwa kusubiri Arsenal, Man City na Chelsea wapate majeruhi. Na kumbuka hizo point 7 unazoiona chache zilikuwa 5 na unapozitafuta hizo kumbuka siyo kwamba hizo timu nyingine zitakuwa zimesimama mkuu. Na vilevile kumbuka kuwa wakati unasema Arsenal hawajacheza na Man City na chelsea, Man U nao hawajacheza na Totenham na Everton.
Halafu umesema mkiamka mtafanya vizuri but mtaamka lini mkuuu?? Hahahahahahahahaha Hatari saana!! Wa kuwaamsha hayupo hahahahahahaha.
NB: Endelea kujifariji soon timu nyingine zitapata majeruhi usiwe na wasiwasi.
 
Endelea kujichekesha hatuwezi kushangilia kuifunga Arsenal ,nyie ndio timu rahisi kwetu kuwafunga Wenger anajua hilo ila nyie mashabiki mnaleta ubishi.Tumeshawafunga 8,6,4,3,2,1 so kuwafunga 1-0 sio jambo la ajabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…