Attempt 0 jamaa wana 5 huko 45min hivi tuko serious kweli tena OT??
Hii game tukishinda ni wachezaji tu watubebe na uzoefu wao na majina ila kimbinu ni weupe.
Majamaa yanapiga long pass nzuri kama kwenye play station
..
Ole ukiweza fanya kikombe hiki kituepuke btw De gea mpaka sasa man of the match.
Mbn mm naona cc ndio tunacheza sn isipokuwa hatutengenezi nafasi. Jamaa wanashambulia kwa kushtukiza shida ni kwamba nao hawana fowad kali, wangekuwa washatutia la mkikiri.
Simb nafuatilia sana ila kwa man utd tangu msimu ulioisha nilisema najitoa kwa muda maan kocha wetu yeye ni kukaa na kunywa maji hata haeleweki huwa anafundisha nini kwenye mazoez
Simb nafuatilia sana ila kwa man utd tangu msimu ulioisha nilisema najitoa kwa muda maan kocha wetu yeye ni kukaa na kunywa maji hata haeleweki huwa anafundisha nini kwenye mazoez
Timu yetu siku hizi inasubiria bahati,waache walindane tu eti kisa ni waingereza na man utd blood wataona matokeo yake...haiwezekan timu kubwa Kama hii kila siku tusubiri bahati tu...