Sir Alex Ferguson: "He [Paul Gascoigne] signed for Tottenham because they bought his mother a house for £80,000 and, dearie me, I couldn't believe it, you know. He was a fantastic player."
Hiyo the way we broke up against aston villa inamaanisha liwapanga ili kuja kuzuia mashambulizi ya Villa? Jamani villa wale tuliowadominate tukashindwa tengeneza nafasi au Villa ipi?

inaumiza sana, mtu unaona timu inakosa nguvu na ubunifu, kwenye kushambulia ila kocha anaongelea kuhusu kudefence mashambulizi ya timu pinzani na kuonesha anaridhika na mchango wa Mcfred uwanjani licha ya kushindwa kufanya kitu kwenye nusu ya adui.....

Mkuu kwa mwenendo huu mwakani tunaweza cheza Europa......kuna competition sana pale juu bila ufundi wa kocha hatufiki popote maana rotation badae itahitajika na yeye sio mzuri katika hilo.