Yani ile penalti ndo imeumiza zaidi hahahah jamaa kapiga utafikiri anataka kuua mbwa duuh dogo greenwood nae sijui sifa zimemlevya, Yani leo nimeumia sana na wikiend yangu washaiharibu tayari na inabidi tupigwe mechi Kama Saba hivi,timu gani ya kusubiria bahati hi...
Ole alishasema yeye haongopi kufukuzwa...na wachezaji 100% hawamtaki kocha...na ronaldo ni kiongozi wa hlo wana ajenda ya siri kam ilivokuw chelsea enzi za kina Terry, hazard n.k na ole lzm atoke amini amini nakwambia....Greenwood wa moto sn hawez fanya haya, uchoyo wote ni sehemu ya ajenda yao.
Ole ashasema haongopi kufukuzwa, cc ndo tunachelewa....wachezaji wana mgomo na ronaldo ndo kiongozi wa kmya kmya ndo mana alinyimwa pass nying na dogo lkn hajalalamika, penalty kakataa, na amini amini nakwambia OLE hatunae tena