Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kuwa legend wa timu ni pamoja na kupenda kuona inafanya vizuri bila kujali umehusika vipi. Kwanini Ole asiwe muungwana akaachia ngazi ili timu ipate mafanikio chini ya mtu mwingine?
Ni kama vile anatukaba wakati lengo letu ni ushindi
 
Kwenye timu zenye vikosi bora Ulaya Man Itd inaweza kuwa tatu bora.

Ila inafungwa na timu ambazo hata Azam anaweza kuzifunga.

Ole anatakiwa aondoke mapema sana, tupate kocha atakaebadili uelekeo.

Tukichelewa mwisho wa msimu tutaishia kuangaliana.

Chief Mkwawa alituambia msimu huu Ole atatushangaza, huku ndo kutushangaza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…