Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 7,073
- 10,545
Ole ni zaidi ya utopoloHuyu Martial leo ni kama alitufanya kucheza pungufu kwa dakika zote.
Ila cha kushangaza katolewa Mata na Telles kaachwa the sleeping Martial.
substitution ya juan mata ilinikera sana, martial na jesse lingard ndio walipaswa kutoka.Huyu Martial leo ni kama alitufanya kucheza pungufu kwa dakika zote.
Ila cha kushangaza katolewa Mata na Telles kaachwa the sleeping Martial.
MAN U YAPAKATWA NA WEST HAM
Ole mitano TenaππOle ni zaidi ya utopolo
Man u na wao wana kikosi B kumbe..!?"mnapata wapi kiburi cha kuchezesha kikos B wakati ata icho A amna"[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji91][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji91][emoji16]nyumbu ni nyumbu2View attachment 1948887
Ole huwa anapenda kuwaridhisha baadhi ya wachezaji wake hata kama ni underperfoming...Huyu Martial leo ni kama alitufanya kucheza pungufu kwa dakika zote.
Ila cha kushangaza katolewa Mata na Telles kaachwa the sleeping Martial.
Kocha mpuuzi kweli..ngoja nilale
View attachment 1948912
Yoyote yule ila sio Legend wa timu.Then hebu sema mkuu, huyu Ole akifukuzwa ni nani atakayefaa kuchukua nafasi yake...!??!
Nasikia Mashiali ni mtoto wa shemeji yake Ole Sendeka.Ole huwa anapenda kuwaridhisha baadhi ya wachezaji wake hata kama ni underperfoming...
Martial ilibidi awe benchi kabla ya dakika ya 60.
[emoji23][emoji23][emoji23]unazingua mkuu.Nasikia Mashiali ni mtoto wa shemeji yake Ole Sendeka.
Yeah! London is blue πTaratibu tutaelewana tuu.
Taratibu mnatoka UCL, taratibu mtaenda Europe league, taratibu mtatolewa EL, taratibu mtatolewa top 4 EPL, taratibu mtaanza kumkataa Ronaldo/kocha/wachezaji, taratibu mtaendelea na wimbo wenu wa kila siku.
London is blue ππ΅π
Tulikosea sana kumuacha ancelloti aende madridKocha mpuuzi kweli..
Shida ya kuvunja low blocks ipo sasa ni mwaka unaenda wa nne na hajapata solution..huyu ni kocha kweli.
πππππππππMbwa sana huyu kocha.