Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wee jitie una #makengeza hukuiona ile penalti ya wazi kabisa.

Makengeza? Wewe ndiwe unayo arifu! Maana ni wewe tu ndiyo unayeongelea hiyo incidence kuwa ni penati!

Hakuna pundit katika media duniani, aliyesema hiyo ni penati!!!

Hakuna mchezaji wa Cardiff aliyelalamikia kuwa hiyo ni penati!!

Sasa wewe tu, ndiyo umeiona?!? Kama siyo makengeza na uhater ni nini?!?

Tulia angalia soka....

2nd half begins....
 
Nzi
timu itakutia maradhi ya moyo na leo Fag mwenyewe anaongoza timu kwa kutumia remote control Moye,
 
Oh! Rooney misses a clear chance to head home United's 3rf....59th min
 
timu imekuwa kimeo hii, inatafuta upepo imekuwa kama ngalawa kutizama upepo unavumia wapi majanga matupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…