Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Narudia tena.

Hakuna timu inayoweza mkataa ronaldo.

Ana nguvu ndani na nje ya uwanja.
 
Rashford sio mbaya kihivyo asee mi namkubali sana ana shida zake lakini akiwepo yeye pembeni huku watu lazima wakate moto anajituma sana kuliko Martial.
Upo sahihi, japokuwa tunamlaumu kwa utoto wake wa kukosa magoli bado ni muhimu sana kwetu.
Dogo yupo vzr sana in terms of positioning, watu wanafikiri zile nafasi za magoli anazopata ni kwa bahati mbayaa, which is not true.
Ingekuwa Rashford yupo clinical kama Greenwood(huyu yupo clinical lkn siyo mzuri kwenye positioning), basi angekuwa ana magoli mengi sanaa.
 
Nimeangalia group lenu nimecheka Sana
hili ni group la uefa kwel au Europa ????

Villareal
Young boys
Atalanta
Man utd .,


Sasa hapo timu ya uefa si Atalanta ,hili group utafikili ni la Europa walahi
 
Ni heri kuwa kundi moja na Young Boys walioishia nusu fainali ya UCL na hawana tofauti na nyie mliofika fainali.

Kundi limejaa vitimu vya ajabu-ajabu, kimoja hapo eti kimeanzishwa 2009. Kundi limejaa mabingwa wa kufeli, mnafika fainali shughuli imeisha. PSG, Man. City na Club Brugge wote ni bottlers.
 
utaifa usiwe kichocheo cha kuhamisha werevu wetu na kuukaribisha upumbavu
============================
Paul Merson: "Harry Kane wins you the league. With the money they have spent on Jadon Sancho and Ronaldo, surely you try and get Kane?

I think he would have gone there. United are the biggest club in the world. Signing Ronaldo is great for the fans. The king is back. But it frustrates me.
You sell shirts with Ronaldo. You win the league with Kane."
 
Mpk ss ana league ngp
 
Naona kaongea ili atrend tu au anachuki binafsi.
"You win the league with kane"- As if kane kuna kombe la league ashachukua,

unakuwa una kane bila kuwa na watu kama kina Sancho asa hiyo si kazi bure?

Pia, Kwanini lawama zinaenda kwa Ronaldo lakini pesa nyingi imetumika kwa Sancho? Hii inaonesha chuki zake tu.

Ukiondoa mshahara ( ambao haulipwi kwa mkupuo) Ronaldo hajatugharimu sana ukifanananisha na thamani yake.

Kumbe sio Kila mzungu ana akili timamu, wengine walevi.
 
Ikiwa mchezaji atafunga magoli 50 kwa kila msimu kwa miaka 15 mfululizo atafikisha magoli 750, takwimu hizo hazitomfanya mchezaji huyo alingane na CR7 kwa ufungaji wa magoli ambaye mpaka muda huu ameshafunga magoli 787.

pichani: ronaldo + rooney + matic​
 
Ndio maana sajili nyingi za man utd huwa nazihusisha na propaganda za waingereza kama kina merson.
 
Wa katikati siyo Rooney ni kitukuu cha Nobby Stiles.
 
Huyu Merson ni mpumbavu wa mwisho kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…