Ronaldo anakuongezea options za kupata mabao mengi zaidi.The biggest problem with me, ni kwamba ronaldo hakuwa kwenye mipango yetu, i seriously hate mambo ya kukupuka.
Ronalso ni human being, inamaana akipata matatizo inakuwaje sasa?
Upo!Role ya Pogba kwenye assists tunaisahau sana.
Kungekuwa na msimamo wa assists, Pogba angekuwa anaongoza.
Kocha alieleza baada ya kukamilisha deal la Varane kuwa any new signing would be a bonus. Usajili wa Ronaldo ni bonus tokea mwanzoThe biggest problem with me, ni kwamba ronaldo hakuwa kwenye mipango yetu, i seriously hate mambo ya kukupuka.
Ronalso ni human being, inamaana akipata matatizo inakuwaje sasa?
Hamna uwezo nyie WA kuchukua kombe mbele ya ChelseaIla kusema ukweli cc mashabiki wa Utd tunakera sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1933884View attachment 1933886View attachment 1933888
Imegundulika kwamba CR7 aliongopa umri na kwamba bado ni kijana mdogo sn.
Kakupa points nyingi leo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]CR7 ni NYUMBU mmoja tu
Maumivu yanakupa ukiwa wap?anachofanyiwa chelsea na aston villa hakina tofauti na alichofaniwa totenham na crystal palace, except for goals so far.
Tukimtoa kwenye kikosi chako cha FPL una points 20 wewe. [emoji23]CR7 ni NYUMBU mmoja tu
Aaahh mkuu kwa leo huna la kusema, tusubiri mechi ijayo tuliendeleze [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bado hajafukuzwa tu
Apo chacha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tukimtoa kwenye kikosi chako cha FPL una points 20 wewe. [emoji23]
Ila kiroba cha kilo 100 kimenipa points 10 leo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tukimtoa kwenye kikosi chako cha FPL una points 20 wewe. [emoji23]