Naomba unijuze kuhusu habari za chip and unlimited Chip, pia kum triple mchezaji u captain inakuwaje, ukipata muda naomba unitupie PM darasa la hii kitu mkuu mana hapa co mahala pake [emoji120]
Kwani huu mchezo points kwa mchezaji zinapatikanaje kwa kufunga tu au hata kukaba.
Nimempa Bruno [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ulivyo fala triple Captain unaweza mpa Magwaya [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiyo tunajifunza aiseee, ushamba mzigo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Eti kukaba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio maana umejaa viungo wakabaji [emoji38]
Nimempa Bruno [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndiyo tunajifunza aiseee, ushamba mzigo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ok hiyo triple nitaitoa, ila mzigo huu nimebadili kwa ss [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mchezaji akifunga ama kua assist hapo utapata points kama zote, sasa inabidi uotee nani atakuwa wa moto wiki husika. Mfano Nikuulize unazani wiki hii kwenye epl ni wachezaji gani watafanya vizuri? Pia kwenye clean sheet mabeki na golikipa wanapata pointi
Ok hiyo triple nitaitoa, ila mzigo huu nimebadili kwa ss [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1931107