unaambiwa bruno fernandez na phil jones walikuwa hawajawahi kuonana hata kwenye kiwanja cha mazoezi, jones anarudi kitandani huku upande wa pili ndio klabu inafanya mchakato wa kumsajili bruno, hiyo ilikuwa ni January 2020.Phil Jones
McTerminatorOur very own Scott is back View attachment 1926860
unaambiwa bruno fernandez na phil jones walikuwa hawajawahi kuonana hata kwenye kiwanja cha mazoezi, jones anarudi kitandani huku upande wa pili ndio klabu inafanya mchakato wa kumsajili bruno, hiyo ilikuwa ni January 2020.
heshima kwake legendary phil jones a.k.a franco baresi wa England.
Nyie hiyo inawasaidia nni ?
Ww unajua hesabu mwenzako yupo kijijini anapiga hesabu za vidole hajui mishaharana vitu kibaoMkuu, najua kwenye hizi analysis kuna element kubwa ya emotion wakati wote, lakini I will take you by your own words.
Kuhusu wastage of money.
Kusema kwamba tumespend kidogo kuzidi Aston villa kwa kipindi cha miaka hii mitatu ni upotoshaji. Nazichukulia hesabu zako kama ulivyoziwakilisha ila naongezea omission uliyofanya.
Msimu Juzi.
1. Tuliwapita 75M lakini in average terms tuliwazidi by 47%.
2. Wao walisajiri wachezaji 14 sisi 5. Maanake Average spending yao msimu juzi Ilikuwa 11.3M na sisi 46.9M a gap of 35.5M sawa na 312.4% yaani in average tuliwazidi expenditure per head kwa asilimia mia tatu kumi na mbili.
3. Hao wachezaji 14 waliosajiliwa na AV kwa mwaka jumla ya mshahawa wao ni 19M wakati hao wa MU ni 31.5M a difference of 64%
Can YOU Imagine yourself claiming our expenditure difference is quite small??
Inatusaidia wewe kutuuliza inatusaidia niniNyie hiyo inawasaidia nni ?
Ni kama bwana rio anashindwa kuelewa huyu dogo amekula nini maana ni kama haelewi kuwa sosha ni machingaVan de Beek: โSolskjaer told me: โI want you to stay hereโ. I need to trust him. If he doesn't need me, I think he will let me go. I think he has plans with me, I just need to work hard and I hope I can show the people, one day, what I can doโ.
manutd |
#GGMUView attachment 1927031
- david degea/ henderson
- wan bissaka/ Ethan Laird/ trippier/max aron/
- luke shaw
- maguire
- varane/lindelof
- declan rice
- sancho/ greenwood
- scott/pogba
- ronaldo/ haaland
- bruno
- rashford/martial