Hili swali la kwanini hatuuzi wachezaji umewahi kuuliza mara mbili humu jukwaani na majibu ya wengi kama yalivyo yangu ni over rated english players pamoja na aina ya mishahara wanayolipwa waki renew mikataba yao pale united.timu yetu haiheshimiwi tena na vilabu vyengine ndio maana si ajabu tunateseka kwenye biashara ya kuuza na kununua mchezaji.
west ham wanaelekea kukamilisha usajili wa paundi millioni 25 kwa kurt zouma, kiupande wa pili wanaweka ngumu kulipa paundi millioni 25 kwa jesse lingard
nilimsahau varane, naye ni mzuri sana kwa mipira ya juuCavan na Varane kama atapenya kwenye kikosi cha kwanza.
Hata mimi nimeona improvement toka kwenye uzuiaji hadi ushambuliaji kwenye mipira iliyokufa.
Naona uelekeo ilionao united kwenye dirisha hili la usajili ni kutoa wachezaji kwa mkopo tu.timu yetu haiheshimiwi tena na vilabu vyengine ndio maana si ajabu tunateseka kwenye biashara ya kuuza na kununua mchezaji.
west ham wanaelekea kukamilisha usajili wa paundi millioni 25 kwa kurt zouma, kiupande wa pili wanaweka ngumu kulipa paundi millioni 25 kwa jesse lingard
bado sijapata jawabu rasmi ila hiyo ishu ya mishahara mikubwa inaweza kuwa ni sababu, kiupande wangu nadhani hizi pia ni sababuHili swali la kwanini hatuuzi wachezaji umewahi kuuliza mara mbili humu jukwaani na majibu ya wengi kama yalivyo yangu ni over rated english players pamoja na aina ya mishahara wanayolipwa waki renew mikataba yao pale united.
Au mkuu umeishapata majibu tofauti na hayo?
1. Najaribu kuwaza kama kipindi tulichopo kinaweza kuwa kinatuponza kwenye soko kwa maana hatuko na nguvu ya majadiliano ukizingatia mwenendo wa timu uwanjani,hivyo wananunuzi wanaona kama tumeporomokabado sijapata jawabu rasmi ila hiyo ishu ya mishahara mikubwa inaweza kuwa ni sababu, kiupande wangu nadhani hizi pia ni sababu
View attachment 1909491
- wachezaji wetu hatuwapi heshima inayostahili, sisi mashabiki tunaongoza kwa kuwadharau kwenye media tofauti na vilabu vyengine
- tunachelewa kufanya maamuzi:
- tunapenda kujiwekea imani isiyowezekana, kwa mfano tunaamini wachezaji wengi wanaotoka academy wana uwezo wa kuingia kikosi cha kwanza, fikiria mchezaji kama tuanzebe laiti kama tungelimbakisha kwa mkopo miaka miwili iliopita pale aston villa baada ya kuisaidia kupanda daraja tungelikwishapata fedha, hatimaye tukaamua kumrudisha na kuozea benchi
- wachezaji wengi vijana tena wenye uwezo wa kupigania namba tunawatoa kwa mkopo kwenye vilabu visivyo na ushawishi wa kifedha na hata kimvuto, mara nottingham forest, derby country, dundee united, hull city.
- Tariq lamptey ameingia kikosi cha kwanza cha brighton akiwa na miaka 18 akitoka chelsea, kwa nini hannibal, levitt, shoretire, mengi, garner na wengineo wasiweze kama kweli wana uwezo. Tunajificha kwenye hoja ya game time huku tukiwapotezea wachezaji fursa sahihi za kuonyesha vipaji vyao kwenye ligi kubwa
hii pia inaweza kuwa ni sababu, wanunuzi wanaingiwa na woga wa kujaribu bahati ya kununua wachezaji wasiohitajika na timu inayofanya vibaya. imekuwa ni rahisi kumnunua mchezaji anayekaa benchi chelsea kuliko kumnunua mchezaji anayekaa benchi man utd au arsenal.Najaribu kuwaza kama kipindi tulichopo kinaweza kuwa kinatuponza kwenye soko kwa maana hatuko na nguvu ya majadiliano ukizingatia mwenendo wa timu uwanjani,hivyo wananunuzi wanaona kama tumeporomoka
chelsea wasingelikuwa na nguvu ya kutengeneza mpaka paundi millioni 100 za mauzo kwa msimu, mimi nadhani ishu kuu ni timing ya kufanya maamuzi.Na vipi kama wanunuaji wanaangalia mchezaji ametoka kwenye mikono ya mlezi gani ili alinganishe ubora na bei?
taarifa zinadai brighton na leicester wapo tayari kutoa mpaka paundi millioni 20 hadi 25 kwa ajili ya james lakini klabu imegoma, sababu ni moja tu klabu bado ina imani daniel james anayo potential ya kuwa mchezaji muhimu ndani ya kikosi japokuwa mimi siioni dalili hiyo.Daniel James...inakisiwa anatakiwa na Leeds kwa mkopo
Lakini si ndipo upepo ulipokuwa unaelekea mkuu?huyu muandishi mashuhuri wa kireno amelewa?
View attachment 1909559
HAPA SIJAMPATA KAMAANISHA NINInimeshusha presha lakini sijajiamini
View attachment 1909562
spurs waliwahi kuingilia dili la bruno kwa mujibu wa huyo jamaa, so kwa kuwa dili halikukamilika baadhi wa wadau wanamchukulia huyo muandishi kama ni mtu asiye na usahihi wa taarifaHAPA SIJAMPATA KAMAANISHA NINI
guardiola anatuchezesha ndombolo, taarifa zinadai anaridhishwa na huduma ya jesus sasa huyo ronaldo vipi tena au kuna mkono wa waarabu wanajaribu kumlazimu kipara amlete CR7Lakini si ndipo upepo ulipokuwa unaelekea mkuu?
Kwenye dirisha hili tayari tumemaliza yenu,tumebaki wapenzi watazamaji tu
tunasikilizia bonus, hii jeuri sijui tunaitolea wapiKwenye dirisha hili tayari tumemaliza yenu,tumebaki wapenzi watazamaji tu
Mzee Ze-dudu naona unatamba tu na kibluetick Cha verification..Nitachoka tu we subiri