Martial ni maskini aliyeridhika na utajiri,
Ole ni tajiri anaeishi umaskini, mtu kamtaka Sancho ila bado anamuweka benchi anaanzisha kile kikosi alichoaminisha bodi kuwa kinahitaji boost ndio kuchukue ndoo sasa anajifanta mentality officer badala akomae na matokeo
Ole mjinga sana,namuunga mkono Nzi jamaa aondolewe tu.
Wakati mwingine tunamlaumu Pogba na Lindelof ila Ole anaweza kuwa ndiye tatizo namba moja la timu kutofanya vizuri.
Ole mjinga sana,namuunga mkono Nzi jamaa aondolewe tu.
Wakati mwingine tunamlaumu Pogba na Lindelof ila Ole anaweza kuwa ndiye tatizo namba moja la timu kutofanya vizuri.