Kwa jinsi tulivyoanza msimu kwa style,ningependa tuendeleze moto ule ule dhidi ya timu yoyote itakayokuja dhidi yetu.
Lakini hofu yangu ni namna Ole atakavyozubaishwa na McFred yake asahau kuhusu usajili wa DM mwingine kitu kitakachotukosesha plan B kwenye baadhi ya game.
Nilipenda Ole alione hili tatizo kabla mechi zijazo hazijamuonesha pindi tunapostahili kutokuwa na McFred dimbani.