Manchester United (Red Devils) | Special Thread

haya haya tena mambo yameiva hapa old traford!van persie anapiga kichwa cha hatari kama abeid mziba hapa!
 
Can't find Ozil!!!

Huyu jamaa amekuwa flop katika games zote kubwa...
 
Kadi ya Njano kwa Sgna ni nafasi nzuri sana kwa Utd kupitishia mipira yao kwake ili kumtafutia kadi, ni vizuri Januzaj akaingia mapema ili kumchanganya zaidi
 
Kipindi cha pili akiingia Januzaj, tunawauwa hawa...

1st shot of the game by goons!!! Pheeeewwww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…