Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hapa tuko pamoja Jombaa. Binafsi sijawahi kuwaelewa waingereza kabisa, wana gharama kubwa mno kuliko uwezo wao halisi.

Niliwahi kusema tulipaswa kuwa na sera ya kuwapandisha waingereza kutoka timu za vijana (90% wamejaa wao) na sio kupoteza pesa kuwanunua. Mf. Class of 92' pamoja na Marcus & Mason.

Ukiangalia sasa hivi media platforms za Uingereza zinaaminisha watu wengi kwamba Declan Rice ndiye kiungo wa ulinzi bora pekee aliyoko sokoni. Kitu ambacho si cha kweli kuna Ruben Neves na Joao Palhinha ambao wanapatikana kwa nusu bei ambayo Westham wanaitaka (Pound 40M).
 
Kisheria tuna nafasi moja tu ya mchezaji mwenye uraia tofauti na Uingereza, kama tukisajili wachezaji wawili (kama ripoti zinavyodai) tegemea mmoja wao ni Muingereza mwingine anakuja.
Sijakataa.

Nafahamu hilo.
 
Filosofia pekee ni na nzuri ni kupandisha hawa viumbe.

Kununua ni kupoteza fedha.
 
Filosofia pekee ni na nzuri ni kupandisha hawa viumbe.

Kununua ni kupoteza fedha.
Haya mambo ya kununua nunua mashabiki tunayapenda sana lakini yamkini tungeangalia kwa makini nini kinaendelea barcelona basi lau hatuchukui makombe lakini tungeusifu uongozi wa club yetu kwa kuwa na disciplined financial management.

Nimefuatilia kidogo sana sababu za messi kuondoka barca, na sio messi tu, wataondoka wengi, bila hivyo hiyo club ingekuwa bunkrupt na ingewezwa kujifuta.

all this time tumekuwa tukisifia benchi la ufundi la barca kumbe hakuna kitu, the guys were buying trophies, sababu 95% ya mapato ya club yalikuwa yanatumika kulipia wachezaji mishahara, a typical financial mismanagement.

Hii ndio kitu guardiola kapeleka man city, na am afraid mwaka huu asipochukua uefa cup, atafurumushwa, sababu the only way ya project yao kuwa profitable ni kuchukua hicho kikombe.

ndio kitu pia inaendelea pale chelsea, abromovic ni mfanyabiashara, anamwaga pesa kwa malengo, ndio maana makocha hawakai pale, ikibainika tu kocha kaishapotezana muelekeo na uefa cup anafukuzwa.
 
Hongereni Sana!
 
Tukubaliane kabla ligi haijaanza

Sosha ni msimamizi wa mazoezi, yani ata kombe la mapinduzi hakuna

Kwa sababu mlivyokua vichwa maji, mkishinda game mbili au tatu huwa mnasahau kabisa
 
Tukubaliane kabla ligi haijaanza

Sosha ni msimamizi wa mazoezi, yani ata kombe la mapinduzi hakuna

Kwa sababu mlivyokua vichwa maji, mkishinda game mbili au tatu huwa mnasahau kabisa
Yani wanaona kama kombe washalibeba.
 
Tukubaliane kabla ligi haijaanza

Sosha ni msimamizi wa mazoezi, yani ata kombe la mapinduzi hakuna

Kwa sababu mlivyokua vichwa maji, mkishinda game mbili au tatu huwa mnasahau kabisa
Uzuri wake msimamia mazoezi anamaliza nafasi za juu kwenye ligi kushinda makocha.


Sasa kumbe akikaza msimu huu anaweza kuwa bingwa, ligi si haina fainali.


4, 3, 2,.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…