Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hivi hiyo backline utaifananisha na hii Tierney ben white holding bellerin??

Kuanzia mchezaji mmoja mmoja hadi backline nzima hamfikii hata robo
Msimu uliopita dawa haijakutosha
Msimu huu points 6 za uhakika nachukulia kwako
 
Nyumbu hizi sajili mnazofanya mnataka kukomba makombe yote aisee?

Dah baada ya varane mkimalizia na usajili wa DM - Rice, kikosi chenu kitakuwa cha moto sana.
Mkuu umeona mbali sn..

Man u ilikuwa inaumizwa na center back na DM ..

Wakinunuwa hao watu na Cavan yupo fit.

Ubingwa wetu msimu ujao
 
Mkuu umeona mbali sn..

Man u ilikuwa inaumizwa na center back na DM ..

Wakinunuwa hao watu na Cavan yupo fit.

Ubingwa wetu msimu ujao
Under Ole siwaoni Man U wakiwa bingwa mtasbr sana na tactics zake zile msifikir atabadilika kirahis kwny mambo anayoamin yy..mda utaongea lkn Bet yng siwaoni Man U akiwa Bingwa lkn atakua competitor mzr sna.

Msimu huu unaweza kua mzr sana maana team nyng kama,Liverpool ujio wa VVD unaweza act kama sajili mpy na wakina mane na salah wakawa form tena..City ndo yule yule lzm awe kwny ubora..Chelsea watakua pia washindani bora sana kwny ligi msimu huu.
 
Kama ole atachanga karata zake vizuri, kuna baadhi ya game anahitaj matokeo ila huwa anaingia na akili flan hivi ya kiutopolo
Ni.kwl mkuu lakini man u imesha kaa vizuri kwa sasa.
Ni tatizo la center back ,DM akilimaliza timu itakuwa very strong.

Ajichanganye mwenyewe na kuwapanga akina Pereira na lingard.

Anapaswa aingie na kikosi kizito kikiwa na DM mmoja tu mkali ,,,na double attacking midifilders mbele. ..Nina uhakika tukicheza 4 3 3..

Tutakuwa wagombania kombe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…