Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwani hawakupata medali?
 
Southgate ni msenge sana. Una wachezaji wazuri ila kawakalisha mbao, kwa aina ya ubora wa kikosi cha Uingereza dhidi ya Italy hawakupaswa hata kufika matuta.
Ubora gani waliowazidi Italy mkuu? Ebu jaribu ku-analyse mchezaji mmojammoja wa Uingereza against Italy
 
Hakuna kitu hapa
 
Hakuna kitu hapa
ninachofurahia ni kuona klabu imeamua kufanyia kazi positively tatizo lililopo, msimu uliopita timu ilishika nafasi ya kwanza kwa kuruhusu magoli ya set piece (kama nitakuwa sahihi tumeruhusu 23% ya magoli kwa set piece).

hakuna mwenye kinga ya kuzuia set piece ila hiyo asilimia kama itapungua mpaka kufikia 10% huku pia tukiongeza ubora kwenye mashambulizi ya set piece naamini tutakusanya alama nyingi sana.

mpka kesho naikumbuka mechi ya everton jinsi walivyoturudishia goli la 3 kwa set piece dhaifu
 
Lauren James ameachana na kikosi cha Casey Stone na sasa atajiunga na Club ya Chelsea anayocheza kaka yake Reece James.

Alikuwa ni mchezaji muhimu kwenye kikosi cha Casey Stone lakini hakuna jinsi Chelsea wamefanikiwa kumshawishi kujiunga nao.
 
Ulitegemea aendelee kuwa kwenye kundi la NYUMBU?
Lauren James ameachana na kikosi cha Casey Stone na sasa atajiunga na Club ya Chelsea anayocheza kaka yake Reece James.

Alikuwa ni mchezaji muhimu kwenye kikosi cha Casey Stone lakini hakuna jinsi Chelsea wamefanikiwa kumshawishi kujiunga nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…