Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sancho ni big flop kwa usajili huu
hamna shida ni kama wale flops mliozoea wanunua miaka yote mzee....mmesahau shevshenko au mmesahau kepa pia huyo Kai kwa hela mlizonunua anavyocheza poleni wazee......vipi timo werner nae hamjawahi pata mchezaji mzuri mkitoa pesa zaidi ya 60 refer Morata
 
Morata ilikuwa ni kituko cha mwaka.
 
Lkn wamedeliver Kwa kutupa taji msimu uliopita.....nyie na kina Maguire mna kombe gani
 
DeGea aondoke tu.

He's now too average au kocha anashindwa kumnoa vizuri.

Hivi Ole wakati anakuja alitimua hadi kocha wa makipa?
Kama unakumbuka vizuri kiwango cha David Degea kilianza kushuka msimu wa 2017/18 na hata alipoenda world cup ali-perform hovyo sana.

Siri kubwa nyuma yake aligombana na kocha aliyemjenga anaitwa Emilio Alvarez. Jamaa aligoma kuendelea kumfundisha David na ndiye aliyemfundisha toka yuko Atletico Madrid.

Ole akampa kazi Richard Ortis. Huyu ndiye technical staff wa kwanza kupewa kazi na Ole baada ya kuwa kocha kamili june, 2019. From there, David hajawahi kuwa golikipa mzuri ana makosa ya kiufundi mengi sana. Huyu Richards Ortis anaweza ku-click na Dean ila sio David.
 
DeGea aondoke tu.

He's now too average au kocha anashindwa kumnoa vizuri.

Hivi Ole wakati anakuja alitimua hadi kocha wa makipa?
Na kama kuna kosa kubwa Ole anaweza kulifanya ni kuendelea na ujinga wa kutokujua yupi ni golikipa wake namba moja msimu ujao. Binafsi naamini Dean anahitaji kuaminiwa 100%, sioni kama David anaweza kurejea ubora wake.
 
Sio ajabu mnasajili wachezaji wa Euro mil 8 nyie hii inatokana na roho yenu ngoja Kroenke awanyoshe.....hovi mnacheza mashindano gani makubwa msimu ujao?.....

kwahela ya sancho tunaweza wanunua kina tavaresi na Okongasjui hata 30 kwaajili ya kutufyekea nyasi Old Trafford.....
Team ya mashetwain ya kike
 
Man City hapa
 
Baadaye utasema wachezaji wabovu, we jamaa bhn.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…