Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Bruno mzee wa mapenalt masikini ya mungu hapewii,yote anapiga ronaldo..

ila ronaldo yuko na roho mbaya ,kwan hajui Bruno anajua kushoot penalty
 
Rasmi tumeingia kwenye vita ya kumsajili camavinga na wiki hii klabu itakutana na wawakilishi wa mchezaji huyo. Wapinzani wetu wakubwa ni PSG kwa sababu camavinga anapendelea kubaki ufaransa,
Camavinga ni mzuri sana aiseh japo physically sina uhakika sana nafikiri inaabidi apige mazoezi zaidi.....technically ni mzuri sana anapiga pasi vizuri, anadribble viziri, amefunga some goals pia....

PSG wamemsajili Gini Wijnaldum Sidhani kama watataka wamsajili na Camavinga.....ila ni mchezaji mzuri naamini anaweza kutusaidia sana....
 
Huyu PSG kwenye huu usajili ana nn lakini? Kila mchezaji wao wanamtaka.
Rasmi tumeingia kwenye vita ya kumsajili camavinga na wiki hii klabu itakutana na wawakilishi wa mchezaji huyo. Wapinzani wetu wakubwa ni PSG kwa sababu camavinga anapendelea kubaki ufaransa,
 
Bruno haonekani kabisa

Bruno Hanna kitu ,ni shati tu linatembea uwanjan
"Bruno hamna kitu"

One of the shitty line from a football fan. Enjoy this beautiful game while you still can. Nyeupe sema nyeupe na nyeusi sema nyeusi, kwa hiyo mentality yako kuwa mchezaji hata awe mkali vipi ila akiwa rival side tayari ni trash hutakaa ufurahie huu mchezo.

Hate aside Bruno anajua even your gaffer knows that too. Hata big players kama Ronaldo na Messi kuna game zinawakataa ila ubora wao upo palepale.

Cry some more.......
 
Portugal out ...!

Huyo Bruno arudi pre season tu
 
A.k.A con artist Buruno panenka
huyu takataka ameshindwa isaidia timu yake kufuzu.

Eti ndo balon'dior material
 
We mkunduma kweli, kwaio bruno ndio kasabisha timu itolewe sababu yuko timu iliyokaa kwenye ubongo wako masaa yote unayoichukia..timu imepambana hadi mwisho halaf unakuja kusema nini hapa, mashabiki wengine mikunduma kweli
Ndio kasababisha boyaa yule ,anamaliza dakika anarukaruka tu uwanjani kudadekii
 
Kocha anaondoa majembe anabakisha vilaza.

Akija kocha mwingine atataka watu wengine upya.

Tatizo la United lipo chini sana kuliko tunavyodhania.

Kuna wachezaji wameondolea hawakutakiwa kuondoka na kuna wachezaji wamebaki hawakutakiwa kubaki.
 
Ole Alitaka wachezaji wajinga wajinga wawe wengi kikosini ili mbinu zake zinapofeli asionekane yeye ndiyo mwenye makosa.
 
Hataondolewa labda afanye vibaya sana
Sisi mashabiki na Media tutaquestion uwezo wake vizuri..achana na hii pressure mkuu.

Yaani let's say next season tunamaliza nje ya top four na bila kombe lolote..kitu ambacho kinawezekana vizuri tu,msimu wa 2022/2023 Ole atakuwa on the wheel?
 
Kama atamaliza nje ya top four atafukuzwa ila ndani ya top four hatafukuzwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…