Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Pale NYUMBU wa kuanza kikosi cha kwanza ndani ya Chelsea ni Bruno peke yake. Wengine wote ni matakataka tu
 
Hakuna mtu humo ni takataka tu
 
Mechi moja Tu mmeshamtamani kumsajili
....mnataka kuwa kama sajili za yanga na GSM mfano kipa wa mwadui kafanya vizuri dhidi Yao Kwa kufuta penalty wamemsajili...
 
Ukishakunywa mataputapu huko kwenu majani ya chai na kushushia na veve basi unakuja kubwata kwenye uzi wetu..jinga sana wewe jamaa.
 
OFFICIAL: The away goals rule will be removed from all UEFA club competitions from the 2021/22 season. Ties in which the two teams score the same number of goals over the two legs will now have two 15-minute periods of extra time, and, if required, penalty kicks.
 
Joao Palhinha ni midfield mzuri sana ila ndiyo hivyo tutarundika midfielder wa ngapi kabla hatujatatua tatizo la kulia ?
jadon sancho ataletwa msimu huu na hilo ondoa wasiwasi kwa sababu klabu imedhamiria kukamilisha usajili wake ndio maana imeshatuma ofa mbili zinazokaribia kiwango kilichowekwa na borussia.

khofu yangu ni kipi kitakachofuata baada ya sancho, taarifa zisizo rasmi zinadai ya kwamba bajeti ya manchester united ni paundi millioni 150. Ukitoa paundi millioni 80-85 za usajili wa sancho utabakiwa na kiwango kidogo sana cha fedha kisichoweza kusajili wachezaji wawili kwa mkupuo endapo tutaelekeza nguvu zetu kwa varane au torres eneo la ulinzi wa kati na hapo hapo unahitaji proper DM.

zipo taarifa pia zinadai Ole anamuhitaji kieran trippier upande wa kulia.
wasiwasi wangu mkubwa kuna eneo tutakuja kulifanyia usajili msimu ujao na hapo tutakuwa tunaendeleza kosa lile lile tulilolizoea la kushindwa kutatua tatizo kwa muda sahihi(tuliacha usajili wa bruno mwaka juzi tukateseka, mwaka jana tukaacha usajili wa sancho)
 
Hata Arsenal au Liver fresh tu kwake.
 
i second you mkuu..nilimuona jana kunamovement nzuri sana alidribble, alipiga long pass nyingi nzuri etc.... amezaliwa 95 yupo sporting kama sijakosea
yupo katika list ya DM wanaotafutwa na scouting yetu.
nazifuatilia mechi za ureno kwa sababu yake, nilikuwa nakerwa sana pindi asipochezeshwa.
afadhali jana nimemuona na kwa kweli amenivutia.

huko reddit mashabiki wanalaumu sana kwa nini kocha wa ureno alikuwa anamweka nje kwa sababu ya danilo na carvalho
 
Kama Jadon Sancho akija msimu huu atatuongezea kitu muhimu sana kikosini iwapo atakuja na kiwango chake cha BVB.

Naamini United wakipata modern fullback upande wa kulia tutakuwa na even distribution ya mpira uwanjani na itatupa wasaa wa kupunguza DMs au watakuwa na nafasi ya kuadvance zaidi kwa sababu timu zitatanua uwanja kupambana na Sancho kulia na Rashford kushoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…