Manchester United (Red Devils) | Special Thread

hahahahahahahahhahahahaha bado mna ndoto za ubingwa au msishuke daraja?

Ubingwa uifuata United...wenye ndoto za ubingwa wanajijua......

United uwa haina ndoto za ubingwa chifu...ndoto ni jambo la kufikirika....ingekuwa na ndoto, isingekuwa na vikombe 20!!!

Pole kwa kuchukia...hujazoea hadi leo tu maumivu unayoyapata kupitia Man United?
 

Attachments

  • 7ba7495b19e1797912cb679900fa0cc8.jpg
    134.9 KB · Views: 51
  • f33feb92c60463ad03b759eee27540ba.jpg
    83.1 KB · Views: 49
  • a5f5a5161030bdcb277e1ece2c3c7d62.jpg
    104 KB · Views: 50
  • 7b4435a11f4386faf887d808603c110d.jpg
    13.3 KB · Views: 49
  • 6fee26790d83f2ed7c57d3f0fda08786.jpg
    102.9 KB · Views: 41
kama ndoto jambo la kufirika mwaka huu mtaota,eti ubingwa unakuja wenyewe,mlizoea kukimbilia kileleni,mtakula sana vumbi huu msimu
 
kama ndoto jambo la kufirika mwaka huu mtaota,eti ubingwa unakuja wenyewe,mlizoea kukimbilia kileleni,mtakula sana vumbi huu msimu

Pole sana kwa kuchukia arifu......

Ila nashangaa kwamba hujazoea tu miaka yote hiyo?!?

United siyo level yako arifu....ipo next level....

Shabikia timu yako mpaka ifikie level hiyo...

Otherwise, keep on hating the player (United) instead of the game (soccer in England).

Because, United is the symbol of English football.....
 
Hahahahaha lol!!!! Mbona kazi hiii nimeianza siku nyingi tu Mkuu hata kabla Nzi hajazuka kipande hii!!!...Wala sitaki ajira Mkuu I do it just for fun.

Endelea kuwa ripota mzuri...tutakuajiri hivi karibuni....
 
Last edited by a moderator:
utakuja kuhamia Everton mwaka huu ,...wachezaji wakubwa ila juhudi ziro
 

Attachments

  • e4d89d28c168bd39056a92313d5b11d5.jpg
    41.9 KB · Views: 89
  • ec153ea45c72caab002723a60a02915d.jpg
    53 KB · Views: 90
  • 1e905a7204d09ce9f0948162565bd393.jpg
    50.8 KB · Views: 85
  • 282f5536b853851f30dd17d8f773e47b.jpg
    63.3 KB · Views: 86
Nzi nimekuja kuwapa hongera naona Leo unarukaruka tu Belo kampigia babu Kelele half time aende chumba cha wachezaji nini? Kwamba gum inaisha ladha. EPL imekuwa ngumu sio ligi ya kubahatisha muda Wowote tunaweza kushangaa Southampton na Everton wapo juu, kila mtu anajuwa united inao uwezo wakurudi na Nguvu kubwa top sema kwa washabiki wa united sababu hawajazoea kufungwa sana ndio kinawapa wasiwasi.... Mie naona EPL ivunje sheria za kutoa wachezaji mkopo kwenye EPL Kama timu inagawa mkopo basi iwe inampeleka nje au chini.
 
Ubingwa upo pale pale kuna waliotangulia kabla ya nov kuisha watashuka kwenye nafasi zao
 
Ha ha ha ha ha mfarisayo kipande ya huku kwetu wanasema wametangulia na baskeli ya mbao wakifika kwenye mlima wanashuka wenyewe bila kulazimishwa wanakokota mpaka watakapo kutana na mteremko.Sasa pata picha Mr Bean atakapokutana na Man U,Chelsea,Man City..... atashika nafasi ya ngapi ?.

Ubingwa upo pale pale kuna waliotangulia kabla ya nov kuisha watashuka kwenye nafasi zao
 
Last edited by a moderator:
Team lineup

Man United vs. Norwich

Starting XI : Lindegaard, Rafael, Ferdinand, Vidic, Büttner, Zaha, Cleverley, Jones, Young, Januzaj, Hernandez. #CapitalOneCup

Subs : Amos, Anderson, Rooney, Giggs, Smalling, Fabio, Valencia.
 
Zaha mtu wa shoka, Moyes anatakiwa amtumie ampe nafasi zaidi anajua kupiga cross.
 
Wakuu vipi updates!? wengine tupo night shift,tunashindwa kufuatilia mambo live...tunawategemea wadau!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…