Greenwood ni bonge la upcoming player, aongeze bidii tu. Shida sio upande, tatizo la Rashford ni kutaka U-ronaldo wakati akili haitaki, yani sehemu ya kupiga pasi ye anataka asubirie kijiji Ili atembee nacho,ukiangalia boko nyingi za kupoteza mipira kizembe zilizotaka kuicost team zimetokea kwake.