Unai Emery, Coach wa Villareal hii itakuwaa fainali yake ya 4 ya europa league ndani ya miaka 10. Mara 3 alikuwa na club ya sevilla na alifanikiwa kunyanyua hili kombe mara tatu mfululizo.
Game ya leo ni 50/50. Ila kwa game ya mwisho kati villareal na real Madrid jumamosi iliyopita inanifanya niamini kwamba hii game itakuwa ngumu sana kwenu.
Hawa jamaa wanapiga pass za hatari. Mashambulizi yao unaona movie za magoli kabisa. Kwa beki zenu za Baily na Lindelof mjiandae kisakolojia. Niwatakie ushindi kwenye hii game japo sioni ni kwa namna gani mnaweza kushida.