Cavani asipobaki msimu ujao tutakua wa ajabu sana natamani msimu ujao tuanze na Greenwood kama stiker hawa kina Martial washanichosha. Ila hizi header za cavani noma sana.