Watu wamesomea mpira miaka ,wanauzoefu na u referee zaidi ya miaka 10 , wameshachezesha mechi zaidi ya 100 ,kuna camera kila kona ,vibendela kila kona ,var zinaangali ..
Wakaamua penalty ....!
Wewe mchoma mahindi wa manzese unapata wapi ubavu wa kusema sio ..