Uko Lowry hotel na Old Traford inasemakana mashabiki wengi wanandamana #GlazersOUT
Pia kuna breaking news baadhi ya mashabiki wameingia ndani ya uwanja wa Old Traford kuonyesha msimamo wa #GlazersOUT
Hope polisi wanatafanikiwa kutuliza hali utulivu urejee
Ila all in all mashabiki wa UTD ni nomaa ktk kukinukisha, familia ya woordward wanawatambua vyema, sasa zamu ya #Glazers