Kile kituko kilizima rasmi ndoto za Liverpool, Steven Gerald na Brendan Rodgera kutwaa EPL akiwa na Liverpool.itakuwa bwana gerrard ana uhusiano wa karibu na chelsea, unakumbuka kituko chake dhidi ya demba ba msimu wa 2014
Tunalijua hilo ndo maana kesho hatutakubali kufungwa na Liver hii iliyojikatia tamaa..Na mkifungwa na Liverpool, Rasmi mnamtangaza CITY bingwa EPL 2020/201.
Kesho tunampeleka europa rasmi
Inapendeza sana kuona Man U inaenda kuamua tena ubingwa wa Man city Kama ambavyo iliamua msimu wa 2018/2019 guys kesho mkifungwa na Liverpool hata 1 itapendeza Sana kumbukeni tunatoka Jiji laManchester wote.
Niinavyo ya kesho
Manutd 2-1 Liverpool
Wanaotegemea ManCity kesho anatawazwa EPL ubingwa itabidi wasubiri sana na wiki ijayo atafungwa na Chelsea
By the end of next week ManCity atakuwa katimuliwa Champions league na PSG na EPL tofauti ya points itakuwa 7 tu kutoka 13 za leo hii kati yake na Manutd.
Swali langu ni nje ya uzi huu ila unabadilishaje username?napenda nihukumiwe kwa ninachokiandika na si username ninayotumia ndio maana nabadili majina mara kwa mara. kuna tabia imezuka humu ndani ya JF kupeana credit ovyo kwa sababu tu ya nguvu ya username (ndio naipinga kampeni hiyo kwa njia hii)
teh teh teh
=============
nilimpima na nagelsmann pamoja na verified name ila nikaona bado mizani inaelekea kwenye jina la klopp,
tusisahau klopp ni muajiriwa tu wa liverpool na si mwanachama, hata mwanzoni sisi tulimtafuta klopp ila mikakati yetu hakuvutiwa nayo ndio akaenda liverpool mbeleni
Na mkifungwa na Liverpool, Rasmi mnamtangaza CITY bingwa EPL 2020/201.
Swali langu ni nje ya uzi huu ila unabadilishaje username?
Huyu mtoto wa Kifaransa anajua sana..Nimekua nikifuatilia mwenendo wa Hannibal Mejbri huyu dogo ana kipaji kikubwa sana. Anahitaji competitive playing time.
Kama kuna uwezekano atafutiwe timu ya kucheza msimu ujao kwa mkopo, tutahitaji sana huduma yake 2022/23.
Binafsi sina shida na City tukimpa ubingwa kesho. Japo nitafurahi zaidi kama tukimpoteza maboya L'pool ili asishiriki michuano ya Ulaya msimu ujao.
Msimu wa mwaka 2009/10, Chelsea alichukua ubingwa kwa points 86 wakati sisi United tulikuwa na points 85. City alitusaidia kumfunga Chelsea mechi zote mbili home & away.
L'pool wakatufanyia roho mbaya Steven Gerrard alitoa boko makusudi kwa kumpasia Didier Drogba ili Chelsea washinde wabebe ubingwa. Tulikuwa na utofauti wa point moja tu kama mechi ingeisha sare sisi tungebeba kombe.
Kile kituko kilizima rasmi ndoto za Liverpool, Steven Gerald na Brendan Rodgera kutwaa EPL akiwa na Liverpool.
Rashford has not looking sharp recenty ..Match day
I hope OGS ataanza na kile kikosi kilichomfunga Roma 6 - 2 ili timu iwe na balance nzuri, langoni akikaa yeyote either Degea au Henderson poa tu
Pogba + Bruno + Cavan wataleta mangamizi ktk lango la Liverpool
Natarajia Greenword ataingia 2nd half kutapelekea madhara zaidi kwa vijana wa Jurgen Klop
Glory Glory Man Utd