D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,646
- 121,057
Tunapiga mtu goli 2NYUMBU KAMA NYUMBU leo mseme kabisa mnataka kupigwa goli ngapi, semeni mapema kabisa.
Hazikwepeki ukizingatia J2 tuna Mourhnio anatupigia mahesabu. Mechi tuliyofungwa na Leicester City kisa hakuipumzisha midfield hasa Fred. Mwishowe akatoa chumba tukafungwaSosha leo atakuja na zile rotation zake
Solskjaer ajikite kwenye europa tu huko kwenye EPL aweke target top 4 tu.Maana city ameshabeba ubingwa.Hazikwepeki ukizingatia J2 tuna Mourhnio anatupigia mahesabu. Mechi tuliyofungwa na Leicester City kisa hakuipumzisha midfield hasa Fred. Mwishowe akatoa chumba tukafungwa
bora tufungwe jumapili sababu hata tukifungwa hakutakuwa na athari kubwa kwa aliyenyuma yetu kuliko tukifungwa leo.Hazikwepeki ukizingatia J2 tuna Mourhnio anatupigia mahesabu. Mechi tuliyofungwa na Leicester City kisa hakuipumzisha midfield hasa Fred. Mwishowe akatoa chumba tukafungwa
Hatutaki kuwapa pointi 6 Spurs na kuwaruhusu City watuache sana. Hawa Granada tunahitaji sare ya kufungana wakija Old Trafford tumalizana naobora tufungwe jumapili sababu hata tukifungwa hakutakuwa na athari kubwa kwa aliyenyuma yetu kuliko tukifungwa leo.
Manutd ni timu kubwa hauwezi kujikita popote inakwenda kifua mbele mataji yote hadi mahesabu ya pointi yagomeSolskjaer ajikite kwenye europa tu huko kwenye EPL aweke target top 4 tu.Maana city ameshabeba ubingwa.
bora tupoteze points 6 kwa Spurs kuliko kutoka kapa msimu wanne mfululizo, wakati hapo chini kwenye comment yako umeweka wazi United ni big team.bora tufungwe jumapili sababu hata tukifungwa hakutakuwa na athari kubwa kwa aliyenyuma yetu kuliko tukifungwa leo.
Mechi saa ngapi ?Futuhiiii ndio ni Futuhiii..
Anyway guys,tuko uwanjani leo..gemu haina mvuto wa nini.