Manchester United (Red Devils) | Special Thread

...najua kabisa umefika wakati wa kubadili TITLE ya uzi.
Kwa kuanzia nashauri tuuite 'ManureUtd Bado Tumo EPL'. .,kirohosafi tu.
 
Man yuko hoi man,tumpeleke hospitalini,SOTON anataka salariiii....MAJANGAAAAAAAAA!
 
lakini usisahau kuwa hatuwezi kuendelea kufungwa na historia. Wakati SAF anaichukua timu mwaka 1986 na sasahivi ni vipondi viwili tofauti sana na wakati ule man Utd haikuwa juu kama ilivyo sasa.

Exactly. United kuwa juu siyo siku zote...United kuwa chini hakupaswi kuwa sababu ya mashabiki kutaka kocha afukuzwe; kocha ambaye ni mpya!! United siyo timu ya aina hiyo chifu...bodi inamwamini David sana, ndiyo maana ikampa miaka 6....

Kwa takribani miongo hii miwili man Utd imekuwa inashindania ubingwa sio kushiriki ligi, kwahiyo kocha tunayemhitaji ni yule amayeshindania ubingwa.

Huwezi kusema United haishindanii ubingwa baada ya mechi 8!! Na siyo kila mwaka United ilishinda ubingwa chini ya SAF..kuna miaka SAF alimaliza bila hata kombe la Carling!! Sasa hapo sijui ulisemaje??!? Siyo kila mwaka United lazima itashinda ubingwa...

Moyes tumemuona tangu mechi za pre season na timu haikufanya vizuri lakini tuliamini ndio kipindi cha kuifahamu timu na wachezaji kumsoma kocha wao na mifumo yake ya ufundishaji.

Bado mimi naona anahitaji muda wa kujifunza zaidi...United ni timu kubwa..huwezi kuweka alama yako baada ya mechi 8 za ligi...David anahitaji muda zaidi hata kama miaka 2 ili aweze kuweka alama yake United...ni jambo gumu kumeza kama mshabiki, lakini ni jambo ambalo unapaswa kuliweka kichwani....

PIA usisahau kuwa Moyes ametudisappoint sana kwenye usajili,hakuwa Makini kuwasajili wachezaji aliowataka ili kuimarisha kikosi chake!

Hilo siyo kosa la David..kama unafahamu mfumo wa utendaji kazi wa United, huwezi kumlaumu David katika suala la usajili...aliyetuangusha katika usajili ni bwana Edward Woodward, ambaye ndiye mtendaji wa timu anayehusika na usajili...huyu jamaa ndiye aliyekuwa analeta uzushi katika kutoa maamuzi ya kutoa pesa za usajili....ni mpya katika kitengo cha usajili...alikuwa kwenye kitengo cha masoko na biashara...naamini katika dirisha lijalo atakuwa ameshafahamu siasa za usajili...natumaini Januari hatotuangusha...


Ni kweli timu haichezi kama United inavyopaswa kucheza..timu imekuwa ikicheza kwa kujihami sana...ile United ya adventure imekuwa haionekani hata OT...sasa hapo utamlaumu David tu kweli? Kwanini na wachezaji wasipewe lawama? Wachezaji nao wana nafasi zao katika timu kufanya vizuri...pamoja na kocha kuhitaji muda, anahitaji pia sapoti ya wachezaji wazoefu wa United..kitu ambacho ni kama anakikosa, kutokana na wachezaji kucheza chini ya kiwango kabisa...ngoja David aweke alama yake, kisha wachezaji kama hao ni kuwatimua tu...Keane alisema kipindi fulani kwamba kuna wachezaji siyo calibre ya United...hawa wataondoka katika zama hizi za David.

Ni sahihi kuona hivyo sasa katika kipindi hiki kigumu..ni kawaida ya binadamu kusahau yote ya nyuma, pale yanapotokea machungu zaidi katika kipindi cha sasa...kipindi cha SAF, tulishuhudia United ikipigwa 4-1 na Liverpoo pale OT, United ikipigwa 5-0 na Newcastle, ikipigwa 6-1 na Man City pale OT n.k. Na watu wakasema SAF hafai aondoke na matusi mengi tu...lakini timu iliposhinda makombe, yote yakasahaulika...hivyo nakuelewa kabisa unavyojisikia...
 
The wonderkid impressed again...and was voted by fans as MOTM..

 
Photo gallery...



Fellaini played somehow well..although he was losing a lot of balls...


Rafael was impressive...proving again why he is United's right back..



RvP played well..scoring his 4th EPL goal of the season..



David is under a lot of pressure..with a big club like United, there are always a lot of expectations from the fans, pundits and the like..



People are already saying the kid is the next George Best (for on pitch performance and not off the pitch affairs)



RvP celebrating United's only goal of the game



SAF was watching....



Wayne's missed chance led to RvP's goal



Wanye in the action



Nani was also very impressive...second to Adnan...



David talking to the wonderkid during the game...



Nani was fouled couple of times without the ref blowing the whistle...



Johnny was solid at the back..he needs more games to get in the first eleven again...



RvP's header hit the post...



Remember the name...



The forgotten pass master...



Soton players celebrating the equalising goal in the dying minutes of the game..



De Gea, Jones and Evra looking shocked....
 
Good night and good day United's fans....

ONCE UNITED, ALWAYS UNITED
 








Hongereni wakuu kwa kutoa sare .... .... ..... .
khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
BTW nachikia Jinamizi ooops Januz limesaini mkataba mpya ni kweli hayo .. .... .... .... ... .. nzi, Belo, BJ na Ngongo vipi? Mpo au leo mmehamia kwenye timu ya noisy neighbour swahiba wenu wa cowshed wamebebwa leo na mbeleko.
 
BTW nachikia Jinamizi ooops Januz limesaini mkataba mpya ni kweli hayo .. .... .... .... ... .. nzi, Belo, BJ na Ngongo vipi?.

Wacha kuweweseka unapomsikia Januzaj...

Adnan Januzaj, the wonderkid, already taken to be the next George Best...

United has been producing wonderkids since 1930s....United's style.

Halafu wacha kudanganyana watu..eti Ramsey ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwezi kwa mara 3 mfululizo...tuzo hadi sasa zimeshatolewa mbili tu..
 
Last edited by a moderator:
Kwechi kumunetiiiiiii LOL!!!!...Hakuna game duniani lenye utamu kama football, soccer, kabumbu, kandanda...Poleni humu ndani naona bado kumenuna humu.

 
Kwechi kumunetiiiiiii LOL!!!!...Hakuna game duniani lenye utamu kama football, soccer, kabumbu, kandanda...Poleni humu ndani naona bado kumenuna humu.


Vipi, wageni wameshaondoka hapo kwako?

Karibu hapa Man Utd... Red Devils Hatushikiki
 

By the way timu si mbaya sana kama watu wanavyofikiri, Game ya jana ilikuwa ngumu binafsi nilijua jana tunafungwa maana toka msimu uliopita tuliwafunga kwa tabu sana na Timu kubwa nyingi zilichezea kichapo kwa Southampton.

Timu imepoteza confidence inahitaji mechi chache kurudi kwenye form, Pia ikumbukwe ligi imeanza kwa ratiba ngumu ndo mana timu inaonekana kupotea. Hao wanaochonga tutawaona mwezi ujao watakapoanza big match ndo itakuwa kipimo kwao kama wataweza kuchukua ubingwa na kwa Man Utd ni muda mzuri kwao kama watahinda mechi nyingi ndani ya Novemebr basi watakuwa kwenye nafasi nzuri kwani timu zilizo juu zitakuwa zinautana zenyewe kwa zenyewe na lazima timu moja au zote zipoteze point
 
Hahahahaha lol!!!! Bado wapo na leo kuna pilau la kukata na shoka pilau la kuku na mchicha, kachumbari etc. Kama nawe unataka kuwa mgeni wangu karibu sana tujichane pamoja kwa raha zetu.



Vipi, wageni wameshaondoka hapo kwako?

Karibu hapa Man Utd... Red Devils Hatushikiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…