Lete link.
Tuone barcelona walipeleka ofa gani ambazo united ikatoa ofa nzuri kuwazidi barcelona.
Upo sahihi juu ya matakwa ya mchezaji.Revealed: how Barcelona interest forced Manchester United to improve Bruno Fernandes bid
Manchester United finally realised on Tuesday that theirs was not the only offer open to Sporting Lisbon; or to the club’s best footballer, Bruno Fernandes. Barcelona, a club with greater revenue and status, were working on a deal that would guarantee Sporting a higher transfer fee and allow the fwww.thetimes.co.uk
Na ishu sio ofa tu,ishu ni mchezaji anataka kucheza wapi
Upo sahihi juu ya matakwa ya mchezaji.
Ila kipindi cha transfers watu wengi hua tunamfuatilia Fabrizio Romano, Mo, Piers kwakua ni waandishi ambao wana sources za ndani kiasi kwamba wakisema kitu juu ya mtu kuondoka au kuja hua haina kupindua.
Wote hao hakuna hata mmoja aliyewahi ripoti kama united wanakabiliwa na upinzani kutoka kwa timu zingine katika kutaka kuwasajili hao wachezaji ilikua ni united inaenda peke yake inarudi na mtu. Ni kama kwa Maguire.
Am simply saying hakuna credible source ambayo ina hii story ya kufanana na stori ya the times na wote tunajua the times ni gazeti la udaku kwa huko kwao. Ni kama vile uquote gazeti la Ijumaa Wikienda kama reference ya madai yako.
Ila kwa mchezaji kama Lacazete TV yako unaipiga pafyum kila asbuh na jioni, sio?Nani anamtaka mgawa ubwabwa kwenye timu yake? Hahaha eti 'Acha kujipa matumaini hewa' watu tunawaza trophies halafu tumuweke mbele baba ntilie? Ningekua nashabikia united ingekua naitemea mate tv kila asubuhi na jioni mpaka atakapoondoka huyo bwana Rungwe.
Hahaha unamuita rashfood? Siyo rashford?Ila kwa mchezaji kama Lacazete TV yako unaipiga pafyum kila asbuh na jioni, sio?
We kweli mpenda vibovu.
Mpenda vibovu siku zote havijui vikali, kwahiyo sikushangai unavyo mkanyagia Rashfood.
Rashfood hakuna taka taka yeyote ya kuilinganisha nayo pale Arsenal.
Hiyo pesa iliyo wekwa hapo ni gharama halali kwa mujibu wa wataalam wa maswala hayo, sasa wewe mkulima wa mihogo kutoka Tomoni unakuja unapinga.
Sancho Tu kipengele ...ndo iwe Messi 😂Kama kuna timu ilimtaka Messi na ikashindwa maana yake hakuna timu ya kucompete na hivi vilabu vitatu sokoni.
Man united.
Barcelona.
Real Madrid.
Kama kuna mchezaji hazikumnunua ujue hazikuweka pesa tu.
Castr huu mjadala hautaisha kwa kuwa unahamisha magoli kila mara.Mimi nilisema hizi deals zilifeli.
Chief umekuja tu kuconfirm kwamba deals zilifeli. Timu kubwa ikawa haina ushawishi wala negotiation edge ya kudemand clauses kulegezwa au kuondolewa kabisa.
So sioni kama nina cha kuongeza.
Kwa faida ya wote, tutajie timu mlizokua mnachuana nazo kutafuta saini ya Ighalo, Cavani,Amad, Pellistr na Bruno.
Ni Arsenal na timu zingine ndogondogo ndiyo zinaweza kubali kuweka buy back Clause na Release clause za kipuuzi kwa wachezaji zinazowanunua.Castr huu mjadala hautaisha kwa kuwa unahamisha magoli kila mara.
Hoja yako ya msingi ilikuwa inabase kwenye financia muscles za man utd dhidi ya timu washindani kwenye sajili za wachezaji. Lakini mkuu Daemusin kakupa vielelezo kuwa sababu ya kushindwa kwa united haikuwa pesa bali sababu tofauti na hapo,ukabadili upepo.
Kwa klabu kama united kuwekewa kipengele cha buy back sio sahihi,haikuwa level yetu kamwe.
Itakua ajabu mimi nikisema united haikua na pesa za kusajili hao watu. Na hakuna sehemu nimesema united haina pesa ya kusajili, nilisema imetaka watu na kuwakosa na nikasema walipoenda.Castr huu mjadala hautaisha kwa kuwa unahamisha magoli kila mara.
Hoja yako ya msingi ilikuwa inabase kwenye financia muscles za man utd dhidi ya timu washindani kwenye sajili za wachezaji. Lakini mkuu Daemusin kakupa vielelezo kuwa sababu ya kushindwa kwa united haikuwa pesa bali sababu tofauti na hapo,ukabadili upepo.
Kwa klabu kama united kuwekewa kipengele cha buy back sio sahihi,haikuwa level yetu kamwe.
Kweli kabisa mdau jamaa anahamisha sana magoliCastr huu mjadala hautaisha kwa kuwa unahamisha magoli kila mara.
Hoja yako ya msingi ilikuwa inabase kwenye financia muscles za man utd dhidi ya timu washindani kwenye sajili za wachezaji. Lakini mkuu Daemusin kakupa vielelezo kuwa sababu ya kushindwa kwa united haikuwa pesa bali sababu tofauti na hapo,ukabadili upepo.
Kwa klabu kama united kuwekewa kipengele cha buy back sio sahihi,haikuwa level yetu kamwe.
Bwana mdogo mbona nilivyoleta link ya skysport umekula kona hadi ndala umeziacha hapa?Itakua ajabu mimi nikisema united haikua na pesa za kusajili hao watu. Na hakuna sehemu nimesema united haina pesa ya kusajili, nilisema imetaka watu na kuwakosa na nikasema walipoenda.
Nikaonyesha wachezaji iliowapata na kwamba hao wachezaji hawakushindaniwa na timu nyingine.
Kama kuna sehemu nimesema kwamba united ilikosa hao wachezaji kwakua haina pesa onyesha.
Kwasababu mwisho uliandika hautaki tena kujadili. Kama sasa hivi unaona unaweza kujadili mimi nipoBwana mdogo mbona nilivyoleta link ya skysport umekula kona hadi ndala umeziacha hapa?
Mkuu nadhani ule uzi wako wa "Why Magufuli government Misses...." itabidi ufe kilazima
Kama Jesse' anarudi basi VdB atafutiwe timu akacheze..He is still young na akienda timu inayom-suit atacheza.Lingard is backView attachment 1735635
Timu yetu inacheza vibaya sana ni kama hawafanyi training siku hizi za pattern ya kucheza tunapata magoli kwa papatu papatu tu.Kama Jesse' anarudi basi VdB atafutiwe timu akacheze..He is still young na akienda timu inayom-suit atacheza.
Lakini je atafanya anachofanya Westham kwa sasa?..