Hatugombani ila washabiki wakuta timu ishinde isiposhinda basi kocha afukuzwe hatuwataki hapa ndo hawa hawa hata wakati Ferg yupo timu ikifungwa tu wanaanza kupiga kelele Ferg kazeeka aondoke
Ataondoka tu na utamfuata huko huko atakapoenda haiwezi timu huyu Ashakuwa miyayusho....
Moyes ni too much.... am sick and tired with him gademed
Pole Haondoki mtu hapo, Kocha anahitaji muda. Kumbukeni hata De Gea alipokuja mlipiga kelele hafai leo wote mmekaa kimya hamuongea tena juu ya De Gea so Moyes atakuja kuwanyamazisha tu
Waambie hao hawajui kuwa Moyes is the CHOOSEN ONE.
mod badilisheni ya huu uzi.. hahahaaaaaa eti man u hatushikiki!
Moyes ni kimeo, simuoni kama ni chaguo sahihi la replacement ya SAF.
Otherwise tukubaliane kwamba tunabadilishana maumivu ya moyo na Arsenal!
Hahahahahahahahaha Mkuu unataka wa uweke vipi sasa hebu pendekeza hayo mabadiliko. Hahahahahahahaha.
Moyes ni kimeo, simuoni kama ni chaguo sahihi la replacement ya SAF.
Otherwise tukubaliane kwamba tunabadilishana maumivu ya moyo na Arsenal!
Wazee wa stress sasa naona mmepata relief mwanzo wa msimu basi mnachoooonga!
Chifu, kama wewe ni mfuasi wa soka..huwezi kuja na kauli kama hiyo...
Siyo jambo rahisi kwa timu kupata meneja mpya na benchi la ufundi jipya, halafu timu iperform vilevile kama ilivyocheza kipindi cha nyuma...hilo jambo siyo rahisi hata kidogo...
David anahitaji muda...wachezaji wanahitaji muda wa kuweza kuelewa mfumo mpya wa David na benchi lake la ufundi....
Hutakuwa humtendei haki kocha, kwa kumwona hafai baada ya games 8 za ligi na 2 za UCL....
Ni sawa kabisa kujisikia hivyo, pengine kutokana na kuzoea kucheka kila mara...lakini ukumbuke katika soka kuna kucheka, kulia na kutabasamu...sasa fahamu sasa timu inapita katika kipindi kigumu...kipindi ambacho shabiki wa kweli ni budi kuwa sambamba na timu na benchi zima la ufundi....
Man United ni timu kubwa...hiki ni kipindi cha mpito...ambacho kinaweza kuwa hata mwaka 1 ama miaka 2..lakini timu itatulia na kurudi katika fomu yake...
Unakumbuka msimu ambao United haikushinda hata kombe moja chini ya SAF?