Reina ameshakuwa garasa ndio maana Liverpool wamemtimua,kwa umri wake De Gea is the best
pepe reina tu hamfikii msilete ndoto zenu hapa!
Huyo labda wazeeke wastaafu hawa waliopo reina,casilas,valds lakini kwa sasa hata vito manone ni mzuri zaidi yake
It was all about 3 points blud...and winning ugly is Man United's style...
Oh! Look who is talking? Goons won at the Stadium of Light thanks to the referee shambolic decision to disallow Jozy's goal...
So now it is about roller coaster rides, uh!? What is next?
Get used to it blud...don't be an anorak to United like Wacha1 makelele..
Tutazoea nini? Mbu
Winning uglier? Mbona hiyo ndiyo kawaida yetu!!
Nyiye hamjazoea tu miaka yote hiyo ya ukame wa makombe?!?
Naona unahangaika ni vijipicha vya kujitengenezea...
Hivi umemwona Wheelchair a.k.a the smoker?!? Nasikia Arseno Chenga kampiga biti...ndio maana kafulia sasa huyo Wheelchair...
It was all about 3 points blud...and winning ugly is Man United's style...
Oh! Look who is talking? Goons won at the Stadium of Light thanks to the referee shambolic decision to disallow Jozy's goal...
So now it is about roller coaster rides, uh!? What is next?
Get used to it blud...don't be an anorak to United like Wacha1 makelele..
United, the world's most popular club...with 354 million fans
The World's Most Popular Football Club
United, the world's most popular club...with 354 million fans
The World's Most Popular Football Club
I thought Arsenal is the most famous football club in the world
Mbu humu baridi tu...kule kwenu joto linazidi kupanda...jana BAK hakuendelea kutoa updates, sijui alikuwa na wageni na jana?!?
Wacha1 makelele alianza kusema WBA wana nguvu ya soda, oh, kuna goli 2 za Goons, oh, tutachukua points 3 zetu za muhimu.
Mara boooomm!! Wakaanza kulalama eti refa amewaminya!! Nikawaambia, karma is a bitch...wao walibebwa na uamuzi wa kijinga wa refa kukutaa goli la Jozy wa Sunderland..hilo wamelisahau....
Wakaanza kudai kwamba wanahitaji dirty midfielder!! Nikashangaa, inamaana Nemo a.k.a Dozil hawafai mara hii!!? Au kwa kuwa alifunikwa bovu na Mulumbu?!?
Hiyo ni droo tu...mkipigwa nyiye mtaanza kumkana Arsene Chenga....jana social media zote kulikuwa tuli...Goons walinywea hao..siku mkipigwa kutatokea shutting down ya servers..
Manure new diver ..... ... Januz
Januz a new cheater .... ...... ..
Mshaanza kupagawa na huyu dogo na atawafanya mbaya sana tu
Kwisha habari yenu tangu Young diver alivyojiunga na mashoga hakuna kitu na vile basi Fungie aliondoka na Brown envelopes zote kwisha habari yenu khe khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hata marefa chacha wamewashitukia mtakoma .... ...