D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
Furgusson hakuwa na timu nzuri kama hii lakini alikuwa akibeba makombeIkifika stage kila mchezaji akawa analaumiwa basi ujue tatizo hapo sio wachezaji tena kama inavosadikika. Toka lini timu ikabadilishwa kikosi kizima. Nawaonea huruma sana hawa madogo laiti kama wangemkuta babu wangekula raha sana. Madogo hawa wanacheza chini ya makocha wa hovyo hovyo 2. Nd maan waling'aa sana kwa Van Gaal. Yule mzee ana mapungufu yake ila falsafa za vijana alikuwa vizuri sio utopolo wa sahv huu.
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Tukirudi msimu ujao na solkjaer hat aje xavi na scholes hatutoboi. Jamaa hafundishi mpira anategemea uwezo binafsi wa wachezaji. Morali iko chini mara nyingi. Shida ya Manchester kila game Rashford anahitajika afanye alichokifanya na game ya newcastle. Sasa zile ni big moments haziji kila muda. Sometimez dg nae anatamani afinish simple pass. Rashford kila game anakimbizwa sana sijui kisa ana mbio hakuna watu wanasupply good balls maan bruno anazidiwa sasa. Kwa case ya fred namuona kabisa kakosa mwalimu anaejua fred achezeje. Fred hafungi tena kama shaktar haasist tena maan anachezeshwa bila mpango.sipo kwenye habari za matokeo ya uwanjani kwani eneo hilo namlaumu zaidi ole gunnar.
kama tunahitaji kuwa washindani barani ulaya tunahitaji kwanza tuwe na midfield wenye uwezo wa kuvuka ubora wa hawa tulionao, kwa sasa uwezo wa kununua bila ya kuuza ni mdogo sana(matajiri wetu si waarabu na corona inazidi kuadhibu vyanzo vya mapato ya uwanjani).
kama kutahitajika kuuzwa mchezaji ndipo aletwe mwengine ndio nimependekeza fred atolewe kafara.
sijamtaja matic kwa sababu safari yake inakaribia.
kama tutaianza tena ligi msimu ujao huku midfield wetu wakiwa ni scott fred basi hadithi zitakuwa ni zile kwa zile.
Usimfananishe Sorkskjaer na hiyo taka taka babu, we vepe?Kwa nafasi anayocheza Fred alitakiwa awe kiungo mchezeshaji sasa yeye ni butua butua tu na ndio maana Man U bila counter au Penalti hamuwezi funga. Mc Tomynay alitakiwa awe kiungo mshambuliaji ila nyie mnamfanya kiungo mkabaji. OGS anao wachezaji wazuri ila hajui kuwatum ia kama alivyokuwa Lampard wetu
Yani ukipata kocha mzuri wachezaji wanafundishika. Kumbuka huyu fred anasemwa hapa pep nd mtu wa kwnza kumtaka na nd maana morinho alilazimisha ela nyng sana zitoke. Sasa jiulize hawa akina bernado silva akina sterling akina rodri mahrez wana maajabu gani ya hivyo? Unataka kunambia zichenko ni mzuri kuliko shaw. Hata stones anaeza kuwa bora sana kuliko maguire.Furgusson hakuwa na timu nzuri kama hii lakini alikuwa akibeba makombe
mourinho hakuwahi kumuhitaji fredKumbuka huyu fred anasemwa hapa pep nd mtu wa kwnza kumtaka na nd maana morinho alilazimisha ela nyng sana zitoke.
We huutaki
Sisi tukikamata nafasi hiyo ya pili bas kombe litakuwa letuWe huutaki
Wachezaji wengi pale wanahitaji mtu mkali asiyetaka mchezo. Babu Fergie unamsifia hapa kujua kuendeleza vijana alikuwa hai-entertain upuuzi alishawahi kumfokea Jonny Evans wazi wazi dhidi ya Ac Milan mwaka 2008 alitoa boko ilikuwa mechi ya UEFA.Yani ukipata kocha mzuri wachezaji wanafundishika. Kumbuka huyu fred anasemwa hapa pep nd mtu wa kwnza kumtaka na nd maana morinho alilazimisha ela nyng sana zitoke. Sasa jiulize hawa akina bernado silva akina sterling akina rodri mahrez wana maajabu gani ya hivyo? Unataka kunambia zichenko ni mzuri kuliko shaw. Hata stones anaeza kuwa bora sana kuliko maguire.
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Stats zinasema Lewandoski na Ronaldo ndo wanaongoza kwa kumiss big chances msimu huu. Je hilo unalitafsiri vipi?video nyengine zinaumiza sana pindi unapoziangalia
huyu rashford utadhani ana kichaa cha mbwa kwa jinsi anavyopoteza nafasi
bila ya kumsahau martial na greenwood
nafasi zote ni za msimu huu
Then kwann alimsajili?mourinho hakuwahi kumuhitaji fred
Ndo hico kikubwa pia manager anatakiwa kuonesha kuwa ni manager. Nlisikia ferguson somtimez alikuwa anawakimbiza wachezaji milimani. Sas huyu jmaa nd maan hafit man u kwsababu inaonekana wachezaji hawamuogopi.Wachezaji wengi pale wanahitaji mtu mkali asiyetaka mchezo. Babu Fergie unamsifia hapa kujua kuendeleza vijana alikuwa hai-entertain upuuzi alishawahi kumfokea Jonny Evans wazi wazi dhidi ya Ac Milan mwaka 2008 alitoa boko ilikuwa mechi ya UEFA.
Pep Guardiola hana mchezo nae ni mkali mno. Angalia hapa chini jinsi dressing room ya City kunavyowaka moto watu wakiwa wanafanya ujinga uwanjani.
Kocha siye aliyekuwa akifanya usajili. Yeye aliagiza supu ya kuku kaletewa ya samaki. Usajili wa Fred ungefanywa vema lisingeendelea kuwepo pengo lililopelekea Man kumsajili Fernandes.
Mimi hudhani kuwa ile ilikuwa wrong buy. DVDB ni mchezaji anayeweza zaidi mpira wa pasi nyingi kuliko mpira wa mperampera. Ole alianza na mpira huo ila baadae akaona ni ujinga sasa anacheza mpira wa asili wa United.sielewi ni kwa nini alisajiliwa donny van der beek.
hivi huyu jamaa alipokuwa ajax alikuwa anacheza nafasi gani?
jamaa ameanza mechi mbili tu za ligi, huo uzoefu ataupatia wapi kama anaendelea kuwekwa nje