Upo sahihi kabisa mwache huyo
Nzi keshapigwa na dawa ya Rungu anaweweseka tu!! Karibu timu nzima ilikuwepo mwaka jana lakini mbona bado mwaka huu haifanyi vizuri? Kuna shida with players!! No spirit,no team work wanajichezzea tu sasa hembu angalia lile goli...very POOR DIFENDING,sijawahi ona from MAnU
re