Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Point mkuu kwa sasa fred ni mchezaj muhimu sana
 
hajaleta madogo wengi kutoka academy kwasababu wengi wana uwezo wa kawaida. Angalia kina Gomes, Chong wote wa kawaida sana. Imebidi ameanza kufanya usajili yeye mwenyewe binafsi ( Mejbri, Pellistri, Diallo). Usajili wa Academy ulikua wa kawaida, ila sasa nguvu kubwa ndo imewekwa huko ili hata kama mchezaji ni mgeni ajifunze utamaduni akiwa toka academy. Mwakani kutakua na wachezaji wengi toka u23. Huyo VDB yupo kama itatokea Bruno kaumia au hawezi kucheza kwa namna nyingine, maana yake kama Bruno ataumia bila VDB hatuna mwingine wa kucheza 10. Kama shabiki wa united, furahi kuwa na backup 10.
 
Unaamini asipokuwepo bruno DVB anaziba nafasi? Uliona mech ya jana basi ktk watu ambao hawakujua wanafanya nini uwanjani DVB ni mmoja wao hii ni kutokana na bench la maana
 
aliyeua confidence ya Rashford kudribble ni Mourinho, mechi ya Arsenal Ole akawa anamwambia Rashford ( ... take him on, he can't defend) ili kumpa confidence. Bado kijana inawezekana akapata confidence yake tena.

Mourinho hajaua hiyo kitu mkuu mwaka jana alikuwa vizur sana yeye na martial ina maana unataka kuniambia last season alikuwa anabahatisha mwaka huu karudi kwa mourinho?
 
Unaamini asipokuwepo bruno DVB anaziba nafasi? Uliona mech ya jana basi ktk watu ambao hawakujua wanafanya nini uwanjani DVB ni mmoja wao hii ni kutokana na bench la maana
hata ile mechi ya saints alivyoingia hakufanya kitu, ila ndo nafasi anayoenda kuziba kwasababu hata 10 akicheza vibaya timu bado inaweza kushinda, Bruno tokea mwaka huu uanze hajacheza vizuri lakini bado matokeo tunapata
 
Daaaa
 
Mourinho hajaua hiyo kitu mkuu mwaka jana alikuwa vizur sana yeye na martial ina maana unataka kuniambia last season alikuwa anabahatisha mwaka huu karudi kwa mourinho?
mwaka jana alikua fresh kufunga magoli au kudrible? hukumbuki Rashford alivyokua anarudisha mpira nyuma, anasubiri ipigwe n akilimbie mbele ya beki? take ons kaua Jose
 
mwaka jana alikua fresh kufunga magoli au kudrible? hukumbuki Rashford alivyokua anarudisha mpira nyuma, anasubiri ipigwe n akilimbie mbele ya beki? take ons kaua Jose

Jose anauwaje mchezaj wa miaka 20?
hazard?ronaldo? Etoo? Zlatan? Drogba hao mbona hawakufa? Ni kwa uchache tu
 
Rashford huyo huyo jana katoa assist ya goli.

Hakuna mchezaji asiyekosa clear chances duniani hata Messi, Lewandoski na Ronaldo wanakosa pia.

Rashford ndiyo kwanza ana 23 years 250 appearance with 83 goals pale epl au ligi yoyote Europe nani mwingine age ya Rashford anayecheza winger mwenye hizo records ?
 
Mason Greenwood, Brandon William's
 
Donny hajapoteza confidence kinachotokea bado hajaadapt intensity ya ligi vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…