Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Martial na Rashford hawazidiani sana ujinga..they are in the same level tbh.

Maguire ni captain mpuuzi kabisa kwenye historia ya hii klabu..Mara kibao tu anakuwa cought kwenye wrong positions.
 
Nothing changes if nothing change.
Tunakosa nini cha kutufanya tusiwe title contenders msimu huu?
Leo tunaongelea beki ndio tatizo lakini niwakumbushe tu,united akirekebisha beki,kiungo kinakuwa tatizo,na akirekebisha kiungo ushambuliaji unakuwa butu. Hii inaonyesha tatizo ni kocha sema sitaki kusema sababu tumeambiwa tumhukumu mwisho wa msimu.
Makosa yote haya tunayosema ni tatizo la flani lakini unaona mechi inayofuata anaanza na makosa yanafanyika kwa usahihi ule ule,lakini tatizo linasemwa sio kocha.
 
Kwnye post match interview OGS anasema 'WE SHOULD NOT BE CONSIDERED TITLE CHASER",unajiuliza anapungukiwa na kitu gani hadi sasa yule mbaba jamani!
Natamani nitafute hobby nyingine itakayoniondolea uteja wa mpira kipindi hiki ole akiwa manager wa united
 
Kwnye post match interview OGS anasema 'WE SHOULD NOT BE CONSIDERED TITLE CHASER",unajiuliza anapungukiwa na kitu gani hadi sasa yule mbaba jamani!
Natamani nitafute hobby nyingine itakayoniondolea uteja wa mpira kipindi hiki ole akiwa manager wa united
 
OGS yupo sahihi, were not title chaser, tunaruhusu kufungwa magoli mepesi vile tutachukuaje ubingwa?

Kama Degea anafanya makosa kama yale unataka OGS asemaje?

Kama Maguire Linderlof na Fred hawafanyi marking mpaka James Rodguez anapokea pass anajiandaa ana'shoot ndani ya 18 bila ya kugasiwa unafikir OGS atasemaje?

Kama Rashford jana kapoteza nafasi mbili za wazi unataka OGS asemaje?

Ile game na Asernal Cavan n Rashford n co walikosa open chance unataka OGS asemaje?

Jana Tuanzebe kafanya kosa ikawa faulo, timu imeshindwa jilinda sikunde tu mpira uishe unataka OGS asemaje?

Pep ashindwe mwenye kubeba EPL this season

Nilichofurahi OGS anayaona mapungufu ya wachezaji wake, dirisha kubwa ayafanyie kazi mapungufu ili 2021/2022 season tuwe real competitor
 
Everton hawajapoteza nafasi za wazi?
 
Mwanzo nilikua nampa lawama OGS ila kwasasa individual error ndio zinatuangusha

Mfano game na asernal kosa la OGS ni nini? Kina cavan na rashford wanakosa magoli OGS afanyaje na ndio wachezaji alionao?

Yule kiazi rashford aletewa Glearish agombee nae namba kule kushoto nafikir ndio ataamka usingizini

Bailly anaumia mazoezini OGS afanyaje? Kumbuka bailly ndio uwa anaficha makosa na maguire bcoz bailly mwepesi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…