Kuna jamaa hapendi akiona Bruno anang'aa, mm namuambia akubali tu cz wazungu wana kamsemo kao wanasema "let strong man passes by" utaumia bure wkt wa Bruno
Kuna jamaa hapendi akiona Bruno anang'aa, mm namuambia akubali tu cz wazungu wana kamsemo kao wanasema "let strong man passes by" utaumia bure wkt wa Bruno
Holi la Cavani ni cross murua, kipimo cha kipekee kutoka kwa Rashford. Rashford alibadili position, akaenda upande wa Greenwood akafanya mambo. Huenda position ya kushoto inamsumbua.
Ndo position yake hyo sema imekataa tu ila wanabadilishana vzr na dogo, ninachompendea Greenwood huwa hapotezi mipira hovyo, lkn naye apunguze back passes.