Nchi za ki Africa nuks kweli.
Huwezi amini hii game leo nitashindwa kuiangalia sababu ya Corona!
Wenye serkali yao (mapolisi) wame chachamaa huko nje, ni full virungu.
Baada ya kuisha game ya Arsenal jamaa wamevamia kibanda umiza na kuanza kutembeza virungu, huku wakisiaitiza watu wavae barakoa.
Hii game nitaifutilia hapa hapa JF.