Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kitu anachofanya manchester united msimu huu wengi hawakutarajia hata nafasi ya nne ilikuwa ngumu kutuweka ule mshangao wanaupata ndio makasoriko yao huwez kuponda penat wakat ligi inaanza kuna mtu katokea nyumban kwake kwa penat 2 ktk mech moja kwa leeds united ina maana alikuwa anakufa nyumban bila penat 2 kupewa na salaha alifunga
 
Mkuu unaishi zamani, robertson wa msimu uliopita sawa Ila sio msimu huu

1. CHILWELL toka mwaka uanze Hana Goli wala assist, na Tuchel sio fan wake pengine Alonso akamkalisha benchi

2.kati ya uliowataja Sawa Digne ni mzuri kuliko wote sikatai, na stats zake msimu huu ni kubwa, Ila kama nusu tu ya mechi zake Ndio kacheza full back, anachezeshwa kama Kiungo mkabaji na midfield wa kushoto Pia.
 
Baada ya arsenal kushinda sinia na birika wengi walijua top 4 au ubingwa ni lazima manchester united hatukufikiriwa cha ajabu washika manati wa london hata dalili ya kushika nafasi ya 7 hamna maana kibarua cha kwanza apambane na aston villa kabla ya spurs na everton hapo chelsea west ham nao kikwazo kwake ambao kawazidi michezo kibao na wanamshinda point

Kwa hiyo makasiriko kujaa hapa ni lazima
 
Niletee stats za Left back yoyote wa EPL anayemshinda Robertson Mpaka sasa????? Ni nani ????

Huu ni msimu wa tatu ROBERTSON yupo kwenye Consistently ileile kuliko Left back yoyote EPL.

Unatumia stats zipi kusema Robbo wa last season sio huyu wa this season na ni yeye ndio anaongoza kwa stats bora.
 
Mimi nakujua ,Baada ya week 2 utarudi kwenye Default settings yako ya lawama.
 
Kwahiyo mnagombania top four sio ubingwa tena
 
Niletee stats za Left back yoyote wa EPL anayemshinda Robertson Mpaka sasa????? Ni nani ????
Shaw Ana defensive stats nzuri kushinda robertson

Mfano Shaw Ana average 1.5 tackles compare na robertson 0.8 kwa dakika 90.

Clearence shaw Ana 1.6 wakati robertson ama 1.5

Stats pekee ya ukabaji ambayo robertson amaemzidi shaw ni interception ambayo Ana 0.6 na shaw 0.5 Ila hata hio utofauti ni mdogo,

Hivyo tu naweza kubaliana shaw ni defender mzuri kuliko Robertson.

Ukija kwenye Cross Robertson ana average cross 1.9 na shaw 1.7 Robertson yupo vizuri zaidi sema not by much, na hii ni EPL kwenye champions league na All competitions shaw Ana record nzuri zaidi, mfano champions league shaw Ana average 2 cross per game na robertson 1.2

Key pass Shaw 1.9 na robertson 1.8, japo difference ni ndogo Ila shaw ametengeneza nafasi nyingi zaidi za kufunga.

Pass Accuracy shaw Ana 83% na Robertson ni 84%

Hivyo mkuu shaw Ana keep up na robertson kwenye ushambuliaji hali ya kuwa by far ni better defender.

Hizo ni stats za kawaida ukiingia deep zaidi Ndio unam expose Robertson

Unsuccessful touch shaw average 0.7 wakati robertson ni 1.2 inamaa Robertson anapoteza sana mipira kwa Adui.

Hapo nime exclude stats nyengine za kudefend kama mipira ya vichwa ambayo shaw yupo Njema zaidi.
 
Nyie NYUMBU aka PUNDA Kama PUNDA kwa kuonga marefa hamjambo.
 

Na bado shaw anacheza na wakina martial ambao ufungaji wao unatia shaka ndio maana assist hakuna za kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…