Forgotten
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,630
- 11,096
North West Derby ya msimu huu siyo kama ya miaka michache iliyopita, msimu huu United tunaenda Anfield tukiwa motivated na kuongoza ligi pia tunapata confidence kwa matokeo yetu mazuri tukiwa away msimu huu.Mpaka sasa man utd hana uwezo wa kumfunga
Man city
Liverpool
Mbaya zaid haya arsenal anawapiga
Then unasimama kusema utd inaweza kuchukua EPL hahaaa
Mkitoa sare tu na Liverpool ,ambapo ndio ushindi wenu ,tayar city anakuwa amewapita point mbili mbele akishinda viporo na kuongoza league
Ninachoona katika hii mechi haitakuwa rahisi kwa kila timu, Liverpool watataka washinde wamfikie United juu, pia watataka walinde heshima yao ya kutopoteza mechi uwanja wao wa nyumbani kwa kipindi kirefu kwenye EPL.
United lengo letu ni moja tu kuondoka na point(s) uwanja wa Anfield, tuiondoka na 3 zote hii itatusaidia kupiga gape wapinzani na kuwaongezea wachezaji confidence.
Siku hiyo United tutashinda mechi kulingana na kikosi, ninachoamini defense yetu ikisimama vizuri na forward zetu zikitumia chance zetu kwa umakini tutamfunga paka kengele. Liverpool mechi zao za mwisho hawana matokeo mazuri pamoja na defense yao imewaangusha, hii itawapa pressure uwanjani. Liverpool ni timu tishio kwenye ushambuliaji wao pia wanakosa nafasi za kufunga ila huwezi kufananisha na forward ya United. Ongezeko la Cavani litakuwa ni utofauti na NW Derby zilizopita.
Siku hiyo angalia game kama burudani don't expect anything kutoka kwa timu utakayoi-support, usiangalie na matokeo yako mfukoni. A game could go any way.....
🎶Glory Glory Man. United.....
As the reds go marching on on on.....🎶