D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
kipindi hicho jose mourinho anampa nafasi timu kubwa pale chelsea, basi vijiweni tukawa tunahoji uhalisia wa umri wake.Kipande cha mtu
yule morgan sijui aliishia wapiNamkumbuka yule jamaa, aisee jamaa waliweka historia.
Hata mm nilikuwa najua hivyo ila kuna mdau humu aliniambia hakuwemo kwenye kikosi kilichobeba epl.Asante kwa ufafanuzi mkuu, kwa Maguire nilijua alikuwa mmoja wao.
Alafu huyu Huth sio yule mjerumani alie pitia pale Chelsea?Namkumbuka yule jamaa, aisee jamaa waliweka historia.
Hahahaaaa naona umetiiNYUMBU kama NYUMBU AKA PUNDA KAMA PUNDA katika ubora wenu.
Kidogo ingefanana na ile kick aliyopiga zidane kwenye UEFA final agaist liverkusenNdio dawa ya wapaki bus hiyo ila pogba kajikunjua hapo alitaka kuua.
Ndo huyo huyo mkuu.Alafu huyu Huth sio yule mjerumani alie pitia pale Chelsea?
Ile ya zizou co mchezo mkuu.Kidogo ingefanana na ile kick aliyopiga zidane kwenye UEFA final agaist liverkusen
Alafu huyu Huth sio yule mjerumani alie pitia pale Chelsea?
Tunaongoza ligi, unayo habari?NYUMBU kama NYUMBU AKA PUNDA KAMA PUNDA katika ubora wenu.
hizi wiki mbili za karibuni umewavuruga sana, mzee wa chimbo upo likizo?Tunaongoza ligi, unayo habari?
Wambie na wenzio kua huku hakuingiliki tena.
hizi wiki mbili za karibuni umewavuruga sana, mzee wa chimbo upo likizo?
liverpool upo
chelsea upo
arsenal upo
umewafanya wapinzani uchwara wakiongozwa na ollachuga wakukimbie humu ndani
teh teh teh
inafurahisha sanaYaani mpaka tunaangalia mpira huku tunamwaza yeye tu huyo jamaa.
Kitoabu atakuwa amefurahi sana huu ushindi.
inafurahisha sana
lakini wadau mfano wake, ollachuga hawakeri sana kwa sababu maneno yao yana ukomo wa staha tofauti na mabwana wanne wale.
Jf imezalisha kwa kasi kubwa sana jamii ya watu tunaodanganya mfumo mzima wa maisha yetu, ila kiupande wa pili ukimuona mdau fulani katika kila sentensi yake ya kujibu hoja inaambatana na matusi basi ujue hiyo ni tabia yake na wala hadanganyi.Sure, yuko powa.
Huyu na Ollachuga wanakaribia kufanana kwa kuchangamsha haya majukwaa, wana mipaka kwenye maandishi yao.
Shida iko kwa wale jamaa wengine, mistari miwili inafatana na matusi.
Jf imezalisha kwa kasi kubwa sana jamii ya watu tunaodanganya mfumo mzima wa maisha yetu, ila kiupande wa pili ukimuona mdau fulani katika kila sentensi yake ya kujibu hoja inaambatana na matusi basi ujue hiyo ni tabia yake na wala hadanganyi.
jamaa anaonekana naye ni mdau anayeongozwa zaidi na ushabiki wa mpira wa uwanjani kuliko kwenye ubongo ndio maana naye anaingia katika kundi la wanaopenda ligi.
kwa mfano juzi moja niliandika humu ndani, mechi ya liverpool tunakwenda kudhalilishwa kimpira(sijasema kimatokeo) na mechi ya arsenal bwana ole atapoteza tena kwa mara ya tatu dhidi ya arteta.
dah kilichotokezea
hahahahaaaaaaaaa
upo sahihi sana na ndio maana sikutaka kuendelea na mjadala.Unatakiwa kutuelewa mkuu, watu wengi kwenye majukwaa haya ya michezo tunatofautiana kama ilivyo kwenye jamii.
Na wengi huwa tunaendeshwa na ushabiki zaidi kwenye hizi mambo za michezo.
Ukimwelewa utajua jinsi ya kumjibu na maisha yanaendelea.
upo sahihi sana na ndio maana sikutaka kuendelea na mjadala.
binafsi bado naendelea kumuogopa arteta asiyekuwa na pesa kuliko super frank billionea ila nasikitishwa kuona kuna wadau hawajaliona hilo.
Nafasi za watu
Mmeona huku juu kulivo na baridi