Tumepata corner 3, hatuna mpigaji, zote zimechezwa pass fupi zisizo na maana. Timu yetu ni kubwa kukosa mpigaji kona ni dalili mbaya. Kama ni hivyo, kocha ahakikishe kati ya Mata, MCTOMINEY au Talles yumo ndani. Ni aibu kushinda kupiga kona.
Hii mechi ilihitaji goli first half. Second half haitabiriki. So sad sipati ninachotegemea.