makinika18
Member
- Nov 16, 2018
- 77
- 108
Kwa anayejua mpira na kuuelewa ni ngumu sana kwa mchezaj mpya kuingia moja kwa moja kweny Timu, na haswa ukizingatia mchezaj husika hajashirik hata pre season ya kutosha, na sio kwamba kasajiliwa kwa 7bu hakuna mchezaj kweny nafac anayocheza ila kasajiliwa ili aje aongeze ushindan na vilevile apunguze mzigo kwa mchezaj mwingine kwa mfano Shaw anapata nafac ya kupumzishwa kwa sababu kuna mtu wa kucheza namba yake vizur (Telles) kweny midfield tunawapumzisha fred na Mctominay, sometimes pogba na Matic, sometimes Van de beek, ku rotate squad ni muhimu sana kweny soka na hauwez rotate squad kama hauna squad depth, so sijaona tatizo lolote la hao wachezaj kuwepo united, wana umuhimu sana kwetu,Mzee clicks? Humu?
Nimetaja wachezaji wengi na unamuongelea de beek pekee. Umetaja games alizocheza sasa bro imekuaje haanzi tena?
Same ilikua kwa ighalo, he came akacheza kidogo kisha yupo benchi.
Unawataja telles na cavani kama waokoaji. Kwa cavan kws umri wake ni sawa, telles umri wake ni wa kumconsider aje kama sub ya kuokoa game? Workrate ya telles, LB, alivyocheza wingman mlijudge vipi humu?
Hiyo wingman una maanisha nin? Kwamba ni winga au? Kama ni hivyo basi una tatizo kubwa kweny kuujua mpira maana Donny ni namba 8, na 10 nzur sana, na sio winga na hajachezeshwa winga,Kuna sehemu nimesema ighalo au nani kaanza wapi?
Unamaanisha de beek kiwango chake ni cha fa?
Unanilisha maneno. Nimekuuliza workrate yake kama wingman ikoje? Wewe unaniuliza kama hakujua shaw kama yupo.
Mbona unajiundia maneno
Hahaha chief ungeangalia kwa karibu ungenotice chief mkwawa alisema kuhusu telles kuchezeshwa wingman.Hiyo wingman una maanisha nin? Kwamba ni winga au? Kama ni hivyo basi una tatizo kubwa kweny kuujua mpira maana Donny ni namba 8, na 10 nzur sana, na sio winga na hajachezeshwa winga,
- Kwa kipindi hichi Bruno.assume we ndo kocha wa Man U, una option ya kumuanzisha Bruno na VDB utamuanzisha yupi?
na dalili ya timu kuwa kubwa ni uwepo wa Depth nzuri. na VDB alikuwa prefered UEFA sio kwamba tu kiwango chake ni cha FA, kama unakumbuka Fred kabla ya kuwa na kiwango EPL alikuwa anacheza vizuri Champions league, hata mechi tunawatoa Psg fred alikuwa ndani, kocha huyo huyo aliemtoa fred kuwa flop mpaka kuja kuwa key player ndio anajua amtumie vipi VDB.
na kuwa sub ama Bench ole analijua zaidi, maisha yake yote alicheza hivyo na bado anaonekana kama legend, tena ni legend kushinda hao waliokuwa wanaanza badala yake.
kuhusu ighalo angalia comment yako ya nyuma ulisema alikuja akacheza aka kaa bench, nimekupa stats zake toka mwanzo hakuwa akicheza Epl anachezeshwa tu mickey mouse competition.
Shot on targetJust a wake-up call, we'll respond accordingly.
We are The Champions.
Shot on target
Liva 1
Soton 2
Hapa nilichogundua ubingwa upo wazi kwa timu zote 11 arsenal kazidiwa point 10 tu na kiongozi wa ligi akikaza na haya matokeo yake anayopata anaweza kufanya jambo ila hatakiw kupoteza mchezo kuanzia sasa nakumbuka last season manchester united alizidiwa na chelsea point 18 kuingia top 4 alizikata had chelsea alikamatwaNi muda wenu wakuu
2nd round watu watauanaHapa nilichogundua ubingwa upo wazi kwa timu zote 11 arsenal kazidiwa point 10 tu na kiongozi wa ligi akikaza na haya matokeo yake anayopata anaweza kufanya jambo ila hatakiw kupoteza mchezo kuanzia sasa nakumbuka last season manchester united alizidiwa na chelsea point 18 kuingia top 4 alizikata had chelsea alikamatwa
Hapa nilichogundua ubingwa upo wazi kwa timu zote 11 arsenal kazidiwa point 10 tu na kiongozi wa ligi akikaza na haya matokeo yake anayopata anaweza kufanya jambo ila hatakiw kupoteza mchezo kuanzia sasa nakumbuka last season manchester united alizidiwa na chelsea point 18 kuingia top 4 alizikata had chelsea alikamatwa
Pale juu uwezo wa kukaa tunao, ila kukataliapo ndio ishu mkuu.Jogoo amechinjwa huko sasa nafasi iko wazi pale juu.
Hiyo itakua ni kazi ya Martial na Cavan.Hahaha, mipango siyo matumizi.
Kati ya vitu sitaki kuona ni run ya Anfield kuvunjwa na nyie, sijui itakuwaje aisee.
Hiyo itakua ni kazi ya Martial na Cavan.
City bado ni tishioInabidi sasa tuonyeshe umwamba.
Piga Burney..Piga Liverpool.. tunawapita kwa 6points ..Mziki unabaki City
Hii bahat haiwez kutokea tenaHere we come[emoji38][emoji38][emoji38]View attachment 1668230
Manchester city hawez kumfung manchester united mengine dakika 90 ni sawa na arsenal alivyoshinda kwa penat ya pogbaNyie nyumbu kesho tunawaonesha kuwa sis ndio watoto wa mjini Manchester
Tunawapiga goli za kutosha hapo kwenu OT
Kudadeki
Yaan hiii Man Utd mbovu itufunge sisi City
Kikosi kipana, tuna pesa na kila kitu nyie nyumbu mtufunge??
Aiseee
Bora ushabikie rede tu maana unaongea pumba sana. Man city ilichoizidi Man u ni kocha tu .Nyie nyumbu kesho tunawaonesha kuwa sis ndio watoto wa mjini Manchester
Tunawapiga goli za kutosha hapo kwenu OT
Kudadeki
Yaan hiii Man Utd mbovu itufunge sisi City
Kikosi kipana, tuna pesa na kila kitu nyie nyumbu mtufunge??
Aiseee