Manchester United (Red Devils) | Special Thread

FT Wachezaji walienda kumkumbatia Bailly bila shaka ni kwa kazi aliyopiga. Ile dk ya mwisho Davis alitaka kutulaza na viatu.

Ninachopenda kwenye hii United ya sasa ni ile winning mentality; sasa hivi kutoa sare kwetu ni kama tumefungwa. Halafu hii ratiba imekaa poa sana sasa hivi presha wanayo Liverpool dhidi ya Soton: The Saints. Wanayo shughuli nzito ya kufanya, wakitoa sare tu itakuwa bomba sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…