Shukrani mkuu, baraka kwako pia.
Kuhusu Liverpool, tulianza 2020 tukiwa tunaongoza ligi, tukamaliza kwa ubingwa.
Tumeanza 2021 tukiwa tunaongoza, tutamaliza tukiwa mabingwa.
Hii ni tamaa mkuu. Haiwezekani tuna wale vijana na Cavan afu tuokoteze watu wasioeleweka bhana. Hao vijana wanahitaji coaching tuu. Hv Rashid utamlinganisha na hao jamaa?Anatosha torres mbona yupo pale
Ole akicheza 4 4 2 itakuwa nzur amtoe dogo greenwood aanze Pobga au VDB na upande wa kushoto aanze luke shaw itapendeza zaidMy Starting XI vs Aston Villa kesho
=======
De Gea
AWB Bailly Maguire Telles
Fred McTominay
Rashford Fernandes Martial
Greenwood
======
Hapo mbele zifanyike some interchanges za nafasi kati ya Rashford,Greenwood na Martial
======
Vijana wakiweka 100% commitment+ umakini na hii game 3points ni mapema tu
======
We can't afford losing this one..hatuwezi kabisa aisee kulipokea hili.
El ghazi,Grealish na Watkins ni wakuwaangalia sana..najua AWB atamalizana na Grealish huku Bailly akimuweka mfukoni Watkins
Namzingua huyo jamaaHii ni tamaa mkuu. Haiwezekani tuna wale vijana na Cavan afu tuokoteze watu wasioeleweka bhana. Hao vijana wanahitaji coaching tuu. Hv Rashid utamlinganisha na hao jamaa?
Km kusajili ni level ya Kane au Hallaand, vinginevyo ni kuchezea pesa na ku-attract attention ya media unnecessarily(wametumia mil 300 lakn hakuna kitu)
Diamonds this season hazijafanya vizuri kama last season.Ole akicheza 4 4 2 itakuwa nzur amtoe dogo greenwood aanze Pobga au VDB na upande wa kushoto aanze luke shaw itapendeza zaid
Ila hawa Aston Villa sio wa mchezo, ni wagumu kufungika.Leo tunafikisha point 33.
Hizi team ngumu ngumu ndo huwa vibonde kwa man uIla hawa Aston Villa sio wa mchezo, ni wagumu kufungika.
Ila tukicheza fresh tunawafunga.
Excellent. Hili li Paul linaongeza creativity badala ya kutegemea Bruno pekee.Ole akicheza 4 4 2 itakuwa nzur amtoe dogo greenwood aanze Pobga au VDB na upande wa kushoto aanze luke shaw itapendeza zaid
Haili mbs kama mobdroWale mtakao kosa fursa ya kwenda vibanda umiza kuna hii App ipo playstore inaonesha mechi Live. Wastani wa MB 570
We will keep the red flags flying high....We are the famous Man UnitedView attachment 1664684
Walikuwa pungufu walipiga crystal palace 3-0 tena kadi nyekundu aston villa walipata dakika ya 20 mings ndio alipewa mwisho wa mchezo walishinda 3Ila hawa Aston Villa sio wa mchezo, ni wagumu kufungika.
Ila tukicheza fresh tunawafunga.
Tunaweza tukachukua pia, mana kwenye mpira lolote huweza kutokea ila sina imani mwalimu!Mkuu ume-time travell tayari na umejua nani atachukua kombe msimu huu!?
Kocha mzuri mwenye uwezo Wa juuAaaah, km nani mkuu
Anastahili sana,Fred hatoi assist wala kufunga tatizoHuyu jamaa anazoa hizi tuzo kila uchwaoView attachment 1664744