Hapo angekosa goli hilo angelaumiwa na dunia nzima ,,1st goal. RashfordView attachment 1662673
Martial alipoingia tu tukapata na goli.1st goal. RashfordView attachment 1662673
Huyo jamaa tatizo majeruhi tu.Ila Bailly wakuu ni kitasa haswaa.
Me nitaendelea kummic Rafael mpaka kesho
View attachment 1662534
United sijui tumpate wapi striker atakae mfaidi huyu mwamba
Huu msimu huwezi kuwafikia Liverpool.
Hatua kazaa mwizi anatiwa mkononi.
Ahsante sana.Sawa mkuu, hongereni kwa ushindi jana.
Ili jukwaa limechangamka ngoja tuone mwisho wake
1st goal. RashfordView attachment 1662673
Ahsante sana.
Ila me leo utanisameh
Mkuu, huwezi amini, hata me kwa huyu jamaa (Matial) kuna kipindi ana ni kera, ila kumbu kumbu zangu zina niambia, huyu jamaa awapo uwanjani huwa tuna fanyaga vizuri.Martial alipoingia tu tukapata na goli.
Naanza kumwelewa Chiefmkwawa
Martial hold up play yake nzuri sana na pia anaweza kucheza vizuri pasi kwenye tight space..shida huyu mtoto hajitumi enough,kuna muda anatembea tu uwanjani..na pia msimu huu amepoteza ule mguu wake wa magoli.Mkuu, huwezi amini, hata me kwa huyu jamaa (Matial) kuna kipindi ana ni kera, ila kumbu kumbu zangu zina niambia, huyu jamaa awapo uwanjani huwa tuna fanyaga vizuri.
Pia kuna mdau kashalizungumza sana hilo humu.
Bila shaka huyo Matial ndio siri ya ushindi wetu.
Japo simkubali kivilee, lakini siungi mkono wanao mponda humu.
Unadhani hawajayapitia hayo!!?au unaona vinakuja kirahisi rahisi.... endelea kubwabwaja na tecno yako kisa una uhakika wa WhatsApp mwakani wenzako wanaendelea kupiga JacksAcha kutetea ujinga mbona liva au bayern hakuna upuuzi huo
Tulikuwa tunaangalia mpira wawili, wakati anazunguka huku Cavani akiwa kwenye good position nilimtukana Rashford, sema matusi niliyafuta baada ya kufunga.Hapo angekosa goli hilo angelaumiwa na dunia nzima ,,
Rashford alikuwa kwenye impossible angle. ,,kupiga kwa pale alipokuwa ni Ku take risk ya kupoteza chance.
Cavan alikuwa kwenye good position ya kufunga..
Rashford kwa Sababu amefunga goli ,,hakuna aliyeona hilo
Alipaswa atoe assist mapema tu kwa cavan ,,,,yeye bado alikuwa anazunguka zunguka na mpira.
Alistahili kumpa Cavan afunge,
Angalia hiyo moves ya goli kwa makini.
Mbona kwangu naona bissaka yupo vizuri ,anaspeed ,anapanda kwenda kusaidia mashambulizi,cross,chenga yupo vizuri....unataka nn Tena!!?Wanazi wenzangu wa mpaka sasa hali si mbaya sana,tunahitaji marekebisho madogo madogo.
Mosi, Nadhani Bissaka anahitaji msaidizi serious atakayemkimbiza.Beki wa kulia ni muhimu sana hasa team inapojenga mashambuzi ya kustukiza.
Pili,Nadhani mlinzi wa kati ni muhimu pia tunaweza kutafuta mlinzi mzoefu temporary solution eg mlinzi wa miaka 30 - 33 si vibaya akiongeza uzoefu wake.
Tatu mshambuliaji upande wa kulia,ingawa mpaka sasa kuna madogo wawili wamesajiliwa sijui uwezo wao kama ni wazuri na wana vipaji basi waanze kupewa uzoefu mapema dakika 10 au 15 hasa team inapokuwa inaongoza goal nyingi eg Leed United.
Mwisho nadhani Jones,Mata,Sergio Romero,Rojo hawa wakiuzwa watatoa nafasi kwa madogo.
Kweli unavyosema,maana hata mm nilijiuliza hvyo hvyo,hasa ukizingatia keshakosa clear chance km mbili hv....Hapo angekosa goli hilo angelaumiwa na dunia nzima ,,
Rashford alikuwa kwenye impossible angle. ,,kupiga kwa pale alipokuwa ni Ku take risk ya kupoteza chance.
Cavan alikuwa kwenye good position ya kufunga..
Rashford kwa Sababu amefunga goli ,,hakuna aliyeona hilo
Alipaswa atoe assist mapema tu kwa cavan ,,,,yeye bado alikuwa anazunguka zunguka na mpira.
Alistahili kumpa Cavan afunge,
Angalia hiyo moves ya goli kwa makini.