Inawezekana kama kocha akiwa serious na kikosi anafanya rotation kubwa sana hasa kiungo leo wamestrugle sana pogba na brunoHuu msimu huwezi kuwafikia Liverpool.
Baily anajua kujiposition sana.Bailly mech ya pili hii anafanya vizur sana
Pia bissaka anamapungufu mengi sana kwenye kushambulia daaa sijui kama atabadilikaBaily anajua kujiposition sana.
Inawezekana kama kocha akiwa serious na kikosi anafanya rotation kubwa sana hasa kiungo leo wamestrugle sana pogba na bruno
Uwezo binafsi wa wachezaj umeamua mech
Pia bissaka anamapungufu mengi sana kwenye kushambulia daaa sijui kama atabadilika
Mkuu bila kocha kubadili kikosi,tungekuwa na wachezaji wengi majeruhi.... Rotation kwenye kikosi Ni muhimu kumbuka huu msimu ulianza tofauti km tulivyozoea ..Huyu kocha anabadili sana timu sijui kama atapata timu yenye muunganiko mzur
Hajiamin yule jamaaa, mabeki wa Pemben kama Kyle Walker, Trippier na Alexander Anorld ndo wanaomfanya akose Namb tim ya TaifaHalafu ana kigugumizi cha miguu
Acha kutetea ujinga mbona liva au bayern hakuna upuuzi huoMkuu bila kocha kubadili kikosi,tungekuwa na wachezaji wengi majeruhi.... Rotation kwenye kikosi Ni muhimu kumbuka huu msimu ulianza tofauti km tulivyozoea ..
Wachezaji hawakupata muda wa kutosha kupumzika,Wala hakukuwa na tournament za pre season
Manchester Ni taasisi kubwa duniani,ina thamani ya matrilioni ya shilingi ,inauongozi thabiti ndo maana tunayaona haya mafanikio leo,ina watu wenye uweledi na wabobezi kila idara,
Sidhani Kama hawajui wanalolifanya,au sisi mashabiki tunajua kuhusu team zaidi yao
Angeanguka zake.TUACHE KUSIFIA UJINGA..KWA GOLI HILI LA RASHFORD UNAMSIFIAJE BRUNO??? KAPAMBANA MWENYEWE KAPUNGUZA WATU, KAWAGEUZA MABEKI KAPIGA SHUTI MWENYEWE KWA AKILI SANA. UNADHANI ANGEKUWA MARTIAL PALE TUNGEPATA KITU.
Katengeneza nyigi sana. Shida ni strikersHahahaaaa mkuu huenda hujaangalia mpira, yn kwa mchezaji wa kawaida angewezaje kumuona rashford umbali ule na akapiga pasi ndefu ikamfikia? Goli alilofunga rashford ni pasi ya ufundi toka kwa Bruno.
Kiboko ya SterlingHajiamin yule jamaaa, mabeki wa Pemben kama Kyle Walker, Trippier na Alexander Anorld ndo wanaomfanya akose Namb tim ya Taifa
Bissaka ni dhaifu sana timu inapotafuta matokeo kwa nguvu
Tackling zake tu ndo zinamfany apate namba pale OT
Tumuache tu ajifunzie hapo hapoWale mashabiki wa nduli Mourinho nawasalimia sana.
Huyu ole vipi mnamuonaje au na yeye tumuanzishie nongwa.?
Unajua liver ana game ngapi? Hamna kiporo vs liverTuna kiporo kimoja na Burney..tukishinda tumemfikia.
Sasa ukiangalia unaona atakuwa serious kweli!
Naona ile ni asili yake Ila tukipata no:7 nzuri hatutahitaji sana ushambuliaji wakePia bissaka anamapungufu mengi sana kwenye kushambulia daaa sijui kama atabadilika