Hongereni watani nafikiri wote lfc na united wamecheza sababu mmoja anapenda kumfunga mwenzake ila hawakucheza kwa moto wa kombe wanaojidai hawalitaki kombe ni Arsenal na ndo wanatolewa kila saa... Ila united Kama wakimchezesha sana Kagawa watakuwa mbali Fellini na carrick kati.