Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huyu Liverpool aliyefungwa na Wolves nyumbani kwake hawezi kumfunga Sheffield Utd hadi apewe soft penalt ndiyo apate sare. Hizo mechi mbili na Liverpool pointi sita zihesabu kibindoni hakuna jinsi

Unazungumzia Liverpool ipi iliyofungwa na Wolves?

Sheffield United unaowazungumzia wao ndo walipewa penati kwa faulo ya nje ya 18, mkuu fanya homework vizuri urudi kupost.

Sheffield game, walipewa penati ya nje ya 18, goli la Salah lilikataliwa ila Liverpool akashinda.


Last 5 games, Wolves kashinda 1 (FA), 4 kashinda Liverpool.
 
Mkuu, acha kujilazimisha kunywa sumu, rudi kundini.
Hamna jombaa hakuna kwere wala nini. Ujue hulka zetu binadamu ziko very complex. Sometimes huwa inakuwa ngumu sana kuelewa kwa nini wengine wanaishi kwenye maamuzi fulani. Zamani nilikuwa nashangaa, mtu anaachaje kushabikia timu? Sijatulia yakanikuta
.

Ila fresh tu chama langu la zamani. Game pekee naombeaga mfungwe ni game yetu, kama ile tuliyowapiga 6.

One love.
 
Ile gemu spurs alibahatika sana na maamuzi mabovu ya refa mpira ukirudiwa spurs hashindi
Tukiweka unazi kando nadhani game tuliishika hata kabla ya Martial red card. Tukirudiana mnaweza kupata matokeo kwa kuwa sie hatuko kwenye form ilhali nyie ndiyo kwanza mmeipata. Raundi ya pili tutarudi vizuri so mtapokea kipigo kingine.
 
Naona umekiri hizi mickey mouse cups ndo saiz ya pep kule Uefa anatusindikiza tu wengine
Kama mnajiamin nyie vidume njoon tukutane semi Final

Carabao hilo ni kombe la pep, automatic

Nyie mnatuvimbia epl tu, tukija huku tunawanyoosha, hakuna cha debry wala nin

The citizen chairman
 
Arsenal wakatumie hako kautaratibu.. katawasaidia sana na Arteta wao
Sio kitu cha kuomba hicho yaani moja haikai mbili huipati ni mwendo wa kutuna na kisirani cha mwendo wa wastani kama wife au mtoto ni timu pinzani akitabasamu wahisi anakubeza na kukucheka
 
Mmmmh,
 
Tukiweka unazi kando nadhani game tuliishika hata kabla ya Martial red card. Tukirudiana mnaweza kupata matokeo kwa kuwa sie hatuko kwenye form ilhali nyie ndiyo kwanza mmeipata. Raundi ya pili tutarudi vizuri so mtapokea kipigo kingine.
Spurs hawez kumfunga united tena ile bahati ya umeme ya lamela haijitokei tena
 
Spurs hawez kumfunga united tena ile bahati ya umeme ya lamela haijitokei tena
Sie udhaifu wetu utaisha dirisha hili la usajili. Tutasajili CB anayecheza kushoto azibe pengo la Super Jan, na kiungo mkabaji atakaye chukua nafasi za hawa akina Winks na mwenzake Sissoko. Kwa hizo addition mbili tu (Skriniar & Sabitzer) tunakiwasha tena kama tulivyoanza ligi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…